Zijue ajali kubwa zilizowahi kutokea Tanzania

Zijue ajali kubwa zilizowahi kutokea Tanzania

Kongole kwa aliechukua muda wake akaandika hii mada.

Atuwekee top 10 sasa.
1984 enzi za mwalimu kabla ya kifo cha Sokoine ikitokea ajali mbaya sana ya Treni eneo la Makutupola wakola walifungua nati za reli wakafunga kamba ya mkonge abiria zaidi ya 200 walipoteza maisha .

Afu kuna ingine enzi za mzee Ruksa ilitokea eneo kati ya Munisagala na Mzaganza tuta la reli ililisombwa na mafuriko abiria kibao walivuta boksi

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Nyie ndio mnaokurupukaga kwa uvivu wenu wa kusoma mada mnakimbilia kucomment....Bus linabeba watu wangapi? Nyie kizazi cha fb mnashida sana hamtakagi kujifunza yalotokea kabla hamjazaliwa ndio maana mnajua tu habari ndogondogo..mabasi ya majinja yameanza safari mwaka gani? Hii inadhihirisha upeo wako
Umeandika upuuzi tu
 
Facebook ni platform ilivyoanzishwa mwaka 2004 kabla hata ya hii jf kwahiyo Kama mimi ni kizazi cha fb ndo kizazi hichohicho cha Jf unatakiwa ulijue hilo we mzee ambae kichwa unakitumia kama mfuko wa kubebea meno uliekaririshwa ujinga kuhusu Facebook na wewe ukaubeba
 
Precion air haiomo kwenye ajali mbaya?
 
Watu wanaongela ajali zilizoua watu kuanzia 200 kwenda juu,achana na mabasi ya watu wawili
Mbna Kam mnafurahia watu kufa ,hata Kam wamekufa 10 Ni ajali mbya kwa taifa

Marekani Rai Moja kupotea kwa kufa kizembe Ni taifa zima linaomboleza sembuze sis tunapoteA watu maelfu na bado maisha yanae delea
 
Pengine kumbukumbu ya muda mrefu ya ajali ya MV Bukoba inapunguza machungu ya ajali ya MV Spice Islanders

Hapa sijaelewa....
 
Aisee Mungu atuepushe na hizi ajali zisiendelee kutokea. Familia nyingi zilipotea kwenye hizi ajali zinazobeba watu wengi
Na sisi pia tubadilike tujuwe kujiongeza,siyo chombo kibovu na bado kinapewa leseni alafu bado tena kinajaza kupita kiasi! Na Mtu ukiona chombo kimejaa kwa Nini upande,si usibiri usafiri mwingine!!?
 
Facebook ni platform ilivyoanzishwa mwaka 2004 kabla hata ya hii jf kwahiyo Kama mimi ni kizazi cha fb ndo kizazi hichohicho cha Jf unatakiwa ulijue hilo we mzee ambae kichwa unakitumia kama mfuko wa kubebea meno uliekaririshwa ujinga kuhusu Facebook na wewe ukaubeba
Sasa kumbe akili unazo kwanini umekimbilia kuleta habari ya ndondo cup kwenye mjadala wa premier league
 
Pengine kumbukumbu ya muda mrefu ya ajali ya MV Bukoba inapunguza machungu ya ajali ya MV Spice Islanders

Hapa sijaelewa....
Kiukweli hata mi siku zote nilidhani Mv spice Islanders haikua kubwa kuzidi Mv Bukoba...na hii ni wengi tulichukulia poa ile ajali ya spice Islanders kuliko ya Mv Bukoba kwa sababu ya Bukoba ilikua ajali ya kwanza kubwa kuwahi kutokea kabla ya spice Islanders
 
Mv Bukoba nakumbuka mpaka kulikuwa na story yake kwenye kitabu cha kiswahili shule ya msingi enzi hzo.

Sijui kama bado wanatumia shule za msingi za sasa.
 
Meli hiyo iliyoundwa mwaka 1979 ikiwa na uwezo wa kubeba mizigo tani 850 na abiria 430 iliyokuwa tegemeo kubwa la kutoa huduma ya kubeba mizigo na abiria ndani ya Ziwa Victoria kati ya Bandari za Bukoba na Mwanza. Siku ya ajali inaelezwa kupakia zaidi ya abiria 2,000.
Inaeza kuwa ilipakia abiria 2000 ila haikubeba tan 850 za mzigo hivo pia overload inaeza kuwa sio sababu
 
Wakati majinja imeangukiwa na contena ikauwa watu wengi enzi hizo ulikua hujazaliwa ni miongoni mwa ajali kubwa za barabarani
Majinja ya juzi

Wakati wa giriki nadhani sumri ilifuta near bus zima hukuwa umezaliwa
 
Back
Top Bottom