Zijue ajali kubwa zilizowahi kutokea Tanzania

Aisee unaweza kuwa na furaha kwa kiwango hiki?
I can read between lines.
Coment zako always ni za kufurahisha sana.
Wengine wana kila kitu na afya tena lakin hatuwez kuwa na furaha.
Unawezaje?
Nilijifunza once u are true to urself maisha murwa sana alafu reaponsibilities ndio zinaleta ukosefu wa furaha. Kuwa single kunachangia sana katika kupata furaha.

Mambk ya kumtegemea mwanadamu na kuweka matumaini yako kwake lazima utaumia tuu. Ukitaka kuwa na furaha kuwa single
 
Ni kweli.
Kama mimi naona kabisa navyokosa amani nikizinguliwa na chibaba.mpaka ulcers.
Sasa ndo wengine maji tushavulia nguo.kutoka uwezi
Unabak kupambana na hali.

Ila kuegemeza furaha yako kwa mwanadamu for the name of ndoa isa big scam.
 
Hahahhaha i hope huambukiz wengine
Sasa naachaje kuambukiza wengine wakati mie niliambukizwa😲😲😲
Kama mie nyege zangu zilinisababishia basi na wao wakubali kuwa tamaa zao za pombe zitawaletea majanga. Ndio maisha yalivyo.

Yaani kama mie siwezi eti mlaumu demu aliyenipa ngoma, hana makosa ni tamaa zangu mwenyewe alafu ukishakubali hilo mbona maisha yanaenda tuu
 
Kwa situation yako kuna haja ya kutumia kinga?
Kama unatumia vidonge wanasma hadi watoto unapata na wanakua safi
 
Ni kweli.
Kama mimi naona kabisa navyokosa amani nikizinguliwa na chibaba.mpaka ulcers.
Sasa ndo wengine maji tushavulia nguo.kutoka uwezi
Unabak kupambana na hali.

Ila kuegemeza furaha yako kwa mwanadamu for the name of ndoa isa big scam.
Nashukuru umekubaliana na mmie. Pole ndio hivyo ndoa ni kunyimana furaha tuu.
Wee sema hutaki tuu ila kama unataka happiness yako unatoka tuu. Kwani wats the worse that could happen?
 
Hii michezo tunayoendelea nayo...
Kujazana kwenye mabasi ya mwendokasi zile express Mungu atunusuru tu Wallah hiyo siku ya 40 ikifika...
.

Utaskia mwendokasi iibeba abiria zaidi ya 300 wakati uwezo wake ni...

Allah atunusuru ndugu zangu
 
Back
Top Bottom