Zijue ajali kubwa zilizowahi kutokea Tanzania

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Afu kuna ingine enzi za mzee Ruksa ilitokea eneo kati ya Munisagala na Mzaganza tuta la reli ililisombwa na mafuriko abiria kibao walivuta boksi

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app

Hii inanikumbusha 1989 pamoja na matukio mawili makubwa kwa wakati ule yalitokea ndani ya interval fupi.
China's Tiananmen Square massacre na Kifo cha Kiongozi wa Kidini wa Iran - Ayatollah Khormeini.
 
Kwahiyo Skagit ilikuwa a watu 290. 81 walikufa, 212 walipotea na 15 walinusurika?!!
 
Kuna ajali ilitokea Ziiwa Nyasa miaka hiyo ya 1960s au 70s huwa haizungumzwi
 
Hii channel ina laana sana.. Hahahaaa
Kuna kipindi kulikua na ishu kubwa sana ilikua inatokea sikumbuki vizuri ilikua ni ishu gani na channel zote zilikua zinaonesha..wao TBC walikua bize wanaonesha live harusi ya yule tabibu wa mitishamba Dr. Buberwa
 
Hiyo km 56 sidhani kama ni sahihi.
Kweli hapo sio sahihi, Yaani kilometers 56 kutoka bandari ya Mwanza na ilipozama MV Bukoba mbona umbali mkubwa sana... Hizo kilometers hapo alizotaja ni sawa na kutoka Mwanza mjini to Misungwi huko hapo wakazi wa Mwanza watakua wanapata picha.. Sasa huo umbali imagine weka kwenye maji huko ziwani mpaka kuja kuifikia bandari....

Inasemekana umbali ulkua kati ya kilometers 30/19miles kutoka bandari ya Mwanza ndipo ilipozama MV Bukoba..
 
Hahhaha mfuko wa kubebea meno?
 
Hii ajali wakati inatokea mie nilikuwa nahangaika na mrembo maeneo ya mikise ...ndio pona yangu
Maisha yako ni mgegedo tu...
Ukifa kwa presha wamekuloga
Unaonekana una furaha sana in real life
 
Ndio mkuu naishi kwa matumaini mwaka wa 22 huu
Aisee unaweza kuwa na furaha kwa kiwango hiki?
I can read between lines.
Coment zako always ni za kufurahisha sana.
Wengine wana kila kitu na afya tena lakin hatuwez kuwa na furaha.
Unawezaje?
 
Reactions: BRB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…