Zijue faida za kutumia Email za kampuni na siyo Gmail / Yahoo

Ingawa ulichoongea ni ukweli lakini watanzania tupo nyuma kwenye mambo haya. Huwa tunatumiana email na taasisi fulani kubwa sana hapa tz, lakini cha ajabu ni yahoo ndio inatumika.
Kuna kipindi hata magogoni walikuwa wanatumia gmail.
 
Ingawa ulichoongea ni ukweli lakini watanzania tupo nyuma kwenye mambo haya. Huwa tunatumiana email na taasisi fulani kubwa sana hapa tz, lakini cha ajabu ni yahoo ndio inatumika.
Kuna kipindi hata magogoni walikuwa wanatumia gmail.
Asante sana mkuu kwa Mchango wako, nafikili watanzania ambao hawajajua umuhimu wa kutumia Business Emails wataendelea kufahamu umuhimu wake zaidi.
 
Hizi email ukituma message Mara nyingi inakuja notification ya kutokuwepo au kutotambulika.
 
Hizi email ukituma message Mara nyingi inakuja notification ya kutokuwepo au kutotambulika.
Hapana mkuu, Hazifanyi hivyo ukiona hivyo ujue domain aiko connected na hosting server au domain aiko registered.
 
Vipi ukifariki au kufiisika email yangu itaendelea kuwa na uhai?
 
Vipi ukifariki au kufiisika email yangu itaendelea kuwa na uhai?
Nikampuni mkuu, So endapo kutatokea changamototo yeyote pia inauwezo wa kufanya backup kwenda kwa kampuni lingine la hosting pia utakua na uwezo wa kufanya domain transfer kupitia Client portal yetu.
 
Habari mkuu, Elimu imetolewa Faida na Jinsi ya kuwa na professional business email, Pia kama unahitaji unaweza pata hata nje ya sisi hata kwa hoster wengine. Karibu sana
sisi hatutaki biashara wala mawazo hayo hatuna na sio wote wanataka biashara na hawafiki 5%
95% waliobaki waache watumie gmail kwani inapatana na simu zote ziwe za Android au nyinginezo
kwani zinawafungulia Application kibao
Tweeter, whatsapp, Google earth, Google drive na takataka kibao
 
Asante kwa ushauri wako but kunawatu wanajua umuhimu wa huduma hii mkuu na wanaendelea kutumia huduma zetu bila tatizo mkuu. Asante na Karibu pia
 
Asante kwa ushauri wako but kunawatu wanajua umuhimu wa huduma hii mkuu na wanaendelea kutumia huduma zetu bila tatizo mkuu. Asante na Karibu pia
Ok kumbe ni za kwenu?
basi waachie watu watumie G mail ndio inayowaunganisha na ulimwengu, mm ni dereva sipotei wala siulizi natumia Google iliyounganishwa na G mail, nasikiliza taarabu/mipasho, Kamanyola, kavasha kupitia Boom Play kupitia gmail vyote bure
 
Ingekua vyema ungesoma vizuri uzi kwa makini mfano uwezi kuta kampuni kama Vodacom, Tigo hata Taasisi za Kiserikali zinatumia email ya gmail au kampuni ambazo zipo kiushindani katika biashara ukakuta zinatumia gmail ndio maana tunaita corporate business email mfano gmail wanatoa huduma ya corporate business email lakini sio bure kwa makampuni na wajasiliamali ambapo mfano inakua info@yourbusiness .com au .co.tz na huduma yetu sisi inapatikana kwa makampuni na wajasiliamali wakubwa na wadogo. Karibu sana
 
We are here when you need help! Contact us today.
 
Email is an important method of business communication that is fast, cheap, accessible and easily replicated. Using email can greatly benefit businesses as it provides efficient and effective ways to transmit all kinds of electronic data.
 
Matumizi ya emails za bure siyo tu yanakuondolea uthamani (Value), bali kunaweza kukukimbizia wateja wengi. Pia, kumbuka kuwa, si lazima uwe na website ili uwe na email ya kampuni. Unachotakiwa ni kuwa na jina la website na ukanunua bando la email. Jibebe Digital tunayo huduma ya email kwa kampuni (Business Emails). Huduma hizi zote zinapatikana kwetu kwa Gharama ya Tsh 97,000/= Tu kwa mwaka mzima.
 
Nitakutafuta mkuu nataka unitengenezee website ya page tatu tu na email binafsi.
 
Our Email Package work with Outlook, Apple Mail, iPhone, Android and more as well as web based email access.
 
Huduma inaendelea, Wasiliana nasi sasa.
 
Kwa kuongezea inaondoa adha ya udukuzi wa taarifa zako hususani google au yahoo kwa ajili ya ad targeting
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…