Jibebe Inc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 905
- 166
- Thread starter
- #81
Jibebe Digital tunayo huduma ya email kwa kampuni (Business Emails). Huduma hizi zote zinapatikana kwetu kwa Gharama ya Tsh 97,000/= Tu kwa mwaka mzima.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari, Mkuu iyo ni Email address ambayo inamilikiwa na hiyo taasisi husika. Kama email haifiki inaweza kusababishwa na kutokua active kwa email yao iyo katika upande wa domain au hosting, Au inawezekana aijawa created au ipo suspended katika hosting control panel.Et jamani naomba kuuliza, hiv links zinazoanza na "info" kama hii info@ihi.or.tz huwa ni email addresses au zinamaanishaga nini maana nimetuma email haifiki, narudishiwa report kuwa imeshi dikana, naomben msaada! View attachment 2014780
Mh hiyo changamoto sasaHabari, Mkuu iyo ni Email address ambayo inamilikiwa na hiyo taasisi husika. Kama email haifiki inaweza kusababishwa na kutokua active kwa email yao iyo katika upande wa domain au hosting, Au inawezekana aijawa created au ipo suspended katika hosting control panel.
Lazima hivyo vyote vizingatiwe ili email iweze kufanya kazi.Mh hiyo changamoto sasa