Zijue faida za kutumia Email za kampuni na siyo Gmail / Yahoo

Zijue faida za kutumia Email za kampuni na siyo Gmail / Yahoo

Matumizi ya emails za bure siyo tu yanakuondolea uthamani (Value), bali kunaweza kukukimbizia wateja wengi. Pia, kumbuka kuwa, si lazima uwe na website ili uwe na email ya kampuni.

Unachotakiwa ni kuwa na jina la website na ukanunua bando la email. Jibebe Digital tunayo huduma ya email kwa kampuni (Business Emails).

Huduma hizi zote zinapatikana kwetu kwa Gharama ya Tsh 97,000/= Tu kwa mwaka mzima.
 
What are the ways to host your Business Emails

Mainly there are 5 ways people host Business Emails. Two are legit & recommended. And two are just the tweaks to get things running.

These are as follows:

  1. Hosting it with your Website Host: Creation emails from your cPanel
    This Generally works well if you only want to receive emails. Receiving too, depends on Server Resource Consumption & Right Configuration. This option is ok when you wouldn’t mind sending emails directly in Spam Folders.
  2. Email Forwarders
    Email forwarders are virtual email addresses, that forward the incoming emails to your actual email addresses. There are two ways to do it. One is setting forwarding in cPanel, second is using third party services. Using this you can create alias email address, and forwarding all emails to your own email address.Overall this option is a tweak, I wouldn’t recommend it as it is just extra pain in the neck to manage.
  3. FREE Email Hosting via Business Email Providers
    When you
    are just starting & are low on Marketing Budget, it is a must try. Benefit of this type of hosting is that Delivering rate of emails is like any other normal Email clients you use e.g. Gmail, Yahoo, Naver, QQ etc. So, you don’t need to worry about whether your email is Delivered or not. Plus, you have features like Security, Native Email Apps & many more. Free Email hosting might come with some limitation depending on Provider e.g. on number of users, server space etc. But when you would reach the point of needing more resources, you would be at a point where you can upgrade without worries. Overall when starting, either Paid or Free Version is to go for.
  4. Email hosting with Paid Email Hosting Providers
    As the name suggests, it is the paid version of above with extra features. In other words, it’s for Organizations / Businesses who have bigger team or people who have more needs than in Free Versions.Features & Price depends on Service Provider. This type of Email service providers give more control to Administrators & have more features e.g. Team call Conferencing Software, Additional Management Tools, Upgraded Space etc.Overall, when you get to point B in Business where you can spend some bucks to give your team a bit of more comfort of use Email Software, that would be the time to go for this option.
  5. Your Own Email Server
    Having your own email server although is a rough task as it takes constant resources, but it does have its perks. These perks are Data Privacy, your own choice of Server, Underlying OS, Software, Antivirus, Level of Encryption, Policies and much more. If you have custom requirements with Data Privacy in mind, then may be having your own Server isn’t that bad of a Idea. This would come into picture for a Larger organization, unless you want to have some Fun with Email Hosting as well
 
We are here when you need help! Contact us today.
 
View attachment 1750292

Matumizi ya email za kampuni (Corporate Business Email Address) ni moja ya njia rahisi kabisa ya kutangaza biashara yako kwa wateja. Kitu ambacho nilikuwa ninajiuliza sana, inawezekana vipi mtu akatuma taarifa za kampuni kwa kutumia email za gmail? Utamuhakikishia vipi mteja kama anadili na kampuni na si mtu binafsi (mfanyakazi wa ndani ya kampuni aliyeamua kuifanya hiyo kazi mwenyewe)?

Matumizi ya emails za bure siyo tu yanakuondolea uthamani (Value), bali kunaweza kukukimbizia wateja wengi. Pia, kumbuka kuwa, si lazima uwe na website ili uwe na email ya kampuni. Unachotakiwa ni kuwa na jina la website na ukanunua bando la email. Jibebe Digital tunayo huduma ya email kwa kampuni (Business Emails). Huduma hizi zote zinapatikana kwetu kwa Gharama ya Tsh 97,000/= Tu kwa mwaka mzima.

Faida za kutumia email ya kampuni
Uaminifu:
Siku zote wateja hupenda kufanya biashara na watu wanao waamiini. Kwa kutumia emails za kampuni kutakusaidia kujenga uaminifu kwa wateja na kuondoa maswali maswali.

Inakufanya uwe kikazi zaidi: Wazo la haraka ambalo huwajia watu pindi wanapopokea email yako toka gmail au Yahoo ni kuwa, huyu hayupo makini na kazi yake. Hata email hana bado anatumia Gmail kikazi. Hivyo epuka kupoteza thamani na kuonekana haupo makini.

Inaongeza upatikanaji wako online: Email za kampuni hubeba jina la kampuni, kwa mfano, unatumia info@yourbusiness. com, hii inamaanisha mtu akienda yourbusiness. com ataonana na website yako. Hata kama hauna Website, unaweza kuweka kurasa ya matengenezo ya website (Under Construction page) na taarifa kadhaa zinazotoa ujumbe wa biashara yako.

Msaada wa haraka: Kwa kutumia email za kampuni, inakuwezesha kupata msaada wa haraka pale unapokutana na tatizo lolote, mfano kuvamiwa na hackers nk kwakuwa unakuwa umejiunga na huduma ya malipo toka kwa kamouni husika.

Jinsi ya kupata Emails za kampuni:
Ili uweze kupata email ya kampuni, unatakiwa upate jina la website (domain name) na kifurushi cha email. Unaweza kupata kwa kutafuta Makampuni yanayotoa huduma hii (Website Hosting Companies) ambapo Jibebe Digital ni mmojawapo. Gharama na huduma zinategemeana na kampuni. Kwa mfano, Jibebe Digital inatoa huduma hii kwa gharama nafuu Zaidi ikijumuisha kurasa ya matengenezo bure. (Domain + Hosting au Bando la Email Kwa Tsh 97,000/= kwa mwaka mzima).

Hivyo, hauna sababu ya kuendelea kupoteza uthamani na wateja kwa kuendelea kutumia Gmail na Yahoo kwa mawasiliano ya kibiashara. Ni wakati wa kumiliki email ya kampuni leo na kuitumia.

WASILIANA NASI : +255.621 454 246
Ukiona unaitwa kwenye fursa, basi jua ww ndo fursa
 
Ukiona unaitwa kwenye fursa, basi jua ww ndo fursa
Asante kwa ujumbe wako mkuu, Tunachofanya ni kutoa elimu juu ya umuhimu wa kutumia email za kibiashara katika biashara badala ya kutumia email za bure. Pia mteja anaweza kupata huduma kwetu au kwa watoa huduma wengine asante na Karibu sana.
 
Our Email Package work with Outlook, Apple Mail, iPhone, Android and more as well as web based email access.
 
Je?, wewe ni mfanyabiashara au mjasiriamali unaemiliki kampuni yako binafsi isiyokuwa na website wala email za jina la biashara/ kampuni yako??

Je?, unatamani kuwa na website na email zenye brand ya jina la biashara au kampuni yako?

Je? unahisi kwamba ni gharama kubwa kumiliki website au tovuti ambayo iko sawa na makampuni makubwa duniani.

Basi ni rahisi kumiliki emails zenye brandi ya jina la biashara au kampuni yako kwa gharama poa kwa gharama ya shillingi 4,000/= kwa mwezi.
 
Hiyo elfu nne ni fee yako au ni malipo mengine?
 
Hiyo elfu nne ni fee yako au ni malipo mengine?
Habari mkuu gharama ya Tsh 4,000/= ni gharama ya kuhost email kwa mwezi nje na domain ambapo domain kwa mwaka .co.tz kwa mwaka ni Tsh 25,000/=, hakuna malipo ya ziada.

Kwa maongezi na msaada zaidi CALL / SMS/ WhatsApp: 0711414246 au 0621454246
 
Akikujibu nishtue. Anattangaza Kazi mawasiliano haweki
Habari mkuu gharama ya Tsh 4,000/= ni gharama ya kuhost email kwa mwezi nje na domain ambapo domain kwa mwaka .co.tz kwa mwaka ni Tsh 25,000/=, hakuna malipo ya ziada.

Kwa maongezi na msaada zaidi CALL / SMS/ WhatsApp: 0711414246 au 0621454246
 
Habari mkuu gharama ya Tsh 4,000/= ni gharama ya kuhost email kwa mwezi nje na domain ambapo domain kwa mwaka .co.tz kwa mwaka ni Tsh 25,000/=, hakuna malipo ya ziada.

Kwa maongezi na msaada zaidi CALL / SMS/ WhatsApp: 0711414246 au 0621454246
Sasa ikitokea nimepata website ii email inakuwa je?
 
Email is an important method of business communication that is fast, cheap, accessible and easily replicated. Using email can greatly benefit businesses as it provides efficient and effective ways to transmit all kinds of electronic data.
 
Je?, wewe ni mfanyabiashara au mjasiriamali unaemiliki kampuni yako binafsi isiyokuwa na website wala email za jina la biashara/ kampuni yako??

Je?, unatamani kuwa na website na email zenye brand ya jina la biashara au kampuni yako?

Je? unahisi kwamba ni gharama kubwa kumiliki website au tovuti ambayo iko sawa na makampuni makubwa duniani.

Basi ni rahisi kumiliki emails zenye brandi ya jina la biashara au kampuni yako kwa gharama poa kwa gharama ya shillingi 97,000= kwa mwaka mzima.
 
Matumizi ya emails za bure siyo tu yanakuondolea uthamani (Value), bali kunaweza kukukimbizia wateja wengi. Pia, kumbuka kuwa, si lazima uwe na website ili uwe na email ya kampuni. Unachotakiwa ni kuwa na jina la website na ukanunua bando la email. Jibebe Digital tunayo huduma ya email kwa kampuni (Business Emails). Huduma hizi zote zinapatikana kwetu kwa Gharama ya Tsh 97,000/= Tu kwa mwaka mzima.
 
Jinsi ya kupata Emails za kampuni:

Ili uweze kupata email ya kampuni, unatakiwa upate jina la website (domain name) na kifurushi cha email. Unaweza kupata kwa kutafuta Makampuni yanayotoa huduma hii (Website Hosting Companies) ambapo Jibebe Digital ni mmojawapo. Gharama na huduma zinategemeana na kampuni. Kwa mfano, Jibebe Digital inatoa huduma hii kwa gharama nafuu Zaidi ikijumuisha kurasa ya matengenezo bure.
 
Siku zote wateja hupenda kufanya biashara na watu wanao waamiini. Kwa kutumia emails za kampuni kutakusaidia kujenga uaminifu kwa wateja na kuondoa maswali maswali.
 
Back
Top Bottom