Jibebe Inc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 905
- 166
- Thread starter
-
- #141
Ni kwamba inakuwa ni idadi ya wewe kutengeneza emails addresses kutokana na domain yako au website yako.Nauliza Wanavyosema website inakuwa na email 50 au 1000 inamaanisha nn .
Nashukuru Kwa maelezo,ila Kwa nyongeza ungenitolea ata mfano kidogo nielewe zaid.Ni kwamba inakuwa ni idadi ya wewe kutengeneza emails addresses kutokana na domain yako au website yako.
Mfano wa email zinakua hivi mkuu.. nimetumia picha kutokana na JF mudamwingine wanbann account zinazoshare link.Nashukuru Kwa maelezo,ila Kwa nyongeza ungenitolea ata mfano kidogo nielewe zaid.
NimeKuelewa shukranMfano wa email zinakua hivi mkuu.. nimetumia picha kutokana na JF mudamwingine wanbann account zinazoshare link.View attachment 2383822
Karibu sana mkuu.Nime
NimeKuelewa shukran