Siyo hawana wake. Sema wametengana na wake zao. Ni tukio la kawaida na wanasababu zao za msingi.Unafaham kuwa matajiri wakubwa duniani hawana wake?
Mtag vizuri aje harakaJoannah ukuje hapa usome comments za wanaume
Hakuna aliyetukanwa mkuu
We unaonaje hapo?... kuna ukweli wowote?JAMII CHECK inatakiwa ihusishwe kama huu ni UZUSHI ama SI KWELI mapema kabisa
JAMII CHECK: UZUSHI 🚨🚨🚨🚨🚨We unaonaje hapo?... kuna ukweli wowote?
Kuna upotofu gani hapo?Mods futen huu uzi unapotosha JAMII
Ni binamu yangu huyo, nashangaa tu kwa nini kapewa jina lake lisilo mhusudemuwako huyó mkuu?
Huu ndio upotoshaji Mkubwa sana kwa JAMII.Faida iliyo kuu ya kuoa ni hii, "mkeo atakulinda na watu wanaokutumia vibaya. Atalinda sifa yako. Atakufanya uheshimike zaidi".
NB : wale team kataa ndoa wengi wao wana matatizo ya afya ya akili, usisikilize ufyatu wao.
Pata mke ufurahie uumbaji wa Mungu.
Ni Mungu, na ndiye atakayewahumu watenda dhambiKwamba alikuwa Mungu ?
Una andiko lolote la kuthibitisha ?Huu ndio upotoshaji Mkubwa sana kwa JAMII.
huyonimalayawangu tumeachana mkuuNi binamu yangu huyo, nashangaa tu kwa nini kapewa jina lake lisilo mhusu
Tusi lipo wapi sasa hapo?""NB : wale team kataa ndoa wengi wao wana matatizo ya afya ya akili, usisikilize ufyatu wao.""
#YNWA
NakaziaHii imekaa safi. Kuwa na mke ni faida kubwa sana.
Sasa Muoe acheni kubishana na wataalam kwa hisani ya lgbtqi
Kwa mujibu wako wewe ? Sifikiri hata yeye mwenyewe amewahi kujitambua hivyo unavyo mtambua wewe ?Ni Mungu, na ndiye atakayewahumu watenda dhambi
We shemeji suruali alitaka kula vya bure kwa nini usiachwe?huyonimalayawangu tumeachana mkuu
huyonimalayawangu tumeachana mkuu
Mapepo yenyewe yanamtambua tena kwa kutetemeka, unalijua hiloKwa mujibu wako wewe ? Sifikiri hata yeye mwenyewe amewahi kujitambua hivyo unavyo mtambua wewe ?
amezidi kukigawaWe shemeji suruali alitaka kula vya bure kwa nini usiachwe?
We ni team kataa ndoa?Mpaka sasa faida za kuoa kwa mwanaume sijaona ukiziandika katika huu uzi