Zijue faida za kuwa na mke

Zijue faida za kuwa na mke

Faida iliyo kuu ya kuoa ni hii, "mkeo atakulinda na watu wanaokutumia vibaya. Atalinda sifa yako. Atakufanya uheshimike zaidi".



NB : wale team kataa ndoa wengi wao wana matatizo ya afya ya akili, usisikilize ufyatu wao.

Pata mke ufurahie uumbaji wa Mungu.
Huu ndio upotoshaji Mkubwa sana kwa JAMII.
 
Hii imekaa safi. Kuwa na mke ni faida kubwa sana.
Sasa Muoe acheni kubishana na wataalam kwa hisani ya lgbtqi
 
Back
Top Bottom