Lihakanga
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 4,823
- 6,416
Siyo hawana wake. Sema wametengana na wake zao. Ni tukio la kawaida na wanasababu zao za msingi.Unafaham kuwa matajiri wakubwa duniani hawana wake?
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app