Zijue faida za kuwa na mke

Haya mawazo yako mkuu kipo kilichokukuta huko ndoani unatuonea wivu mabachela, huku mitaani walioko kwenye ndoa wakija anga zetu tunawaona kama wehu mambo yanavyowakanyaga. Alafu achaga kujipendekeza kwa kina dada kuwaona kana kwamba bila wao maisha hayaendi.
 
Faida za kuwa na mke kama mke au Mke Mwema..........? Issues sio kupata mke,issue ni kupata mke mwema............
 
Kwa hiyo unataka kusema nini ? Maana ulitaka takwimu nimekupa sema unachotaka kusema.
 
Jamani aliepo single naomba aje PM tufanye jambo huku nimeshachika ukapera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…