Zijue hoe phase, panic phase na toxic phase katika lifecycle ya mwanamke wa kisasa

My brothers, listen to me very careful. The modern woman who follows this path will target you as her last option after the streets damage her. Don't be her retirement plan. You were made for the fresh, not for left overs
Mkuu sasa huyu wangu nimrudishe ama? Nishajichanganya
 
Umemjibu kisomi sana. Sijui kama ataelewa hili
 
The modern woman who follows this path will target you as her last option after the streets damage her. Don't be her retirement plan. You were made for the fresh, not for left overs
You nailed it bro πŸ“Œ
Beware of EXPIRED women..
 
Kuna wakati akili inakuwa driven na emotions hasa kwa sisi wanaume kipindi Cha kuivuka balehe ukilala usiku ni mwendo wa hot dreams tu shuleni unakifikiria ki maria Cha form 2 Hadi unamaliza form4 umeshiriki kwenye kuwabikiri baadhi kipindi Cha kutafuta wa kumuoa hutaki leftovers?
Sometimes haya mavitu yanakuwa driven automatically tu unaweza ukapanga huyu Manzi nipite naye kwa part time mwisho wa siku ikawa full time job na insurance juu

Mkuu mwenye miaka 37 anakuwa kwenye level gani ya toxicity? Nimekutana na mmoja ana huo umri na hana mtoto akawa mkali kwangu kuwa nisipompotezee muda hayuko kulazimisha mambo. Nikatemana naye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…