Zijue hoe phase, panic phase na toxic phase katika lifecycle ya mwanamke wa kisasa

Hawa wanaume wanaooa wanawake mnaodai wana past mbaya siyo kwamba ni wajinga, ila wameamua kutoka kwenye fantasies na kuja kwenye reality wameamua kukubaliana na hali halisi, kwamba huwezi kupata wanawake bikira katika jamii ambayo wanaume ndio wametembea na hao wanawake na kuzitoa hizo bikira

Vinginevyo ili upate wanawake waliojitunza maana yake na wanaume nao itabidi wajitunze sababu watakosa wanawake wa kufanya nao, sasa ninyi mkiambiwa mjitunze hamtaki mnakimbilia kusema eti wanawake ndio wajinga kukubali ilihali ninyi ndio mnaowashawishi, aliyewaambia kuwa wanawake ndio malaika kwamba wataweza kukwepa vishawishi vyote ni nani

Lazima mkubali kwamba kwenye suala la uzinzi wote wanawawake na wanaume mna makosa hivyo wote mtawajibika huko mbeleni, sasa mnataka ninyi msiwajibike kwa kutoa bikira za wasichana na kuwachezea huku ujanani wakati kiuhalisia wenye shida na hizo bikira huko mbeleni ni wanaume, ndio maana nikakuuliza nitajie madhara anayopata mwanamke moja kwa moja kwa kukosa bikira mpaka sasa unajizungusha tu ilihali swali ni jepesi au umeishiwa hoja
Usingle mother hata wanawake wa jamii ya kizungu unawatesa pia, fanya research yako vizuri. Hakuna mwanamke asiependa mtoto wake akose father's figure kwenye malezi yake.
Sababu kubwa inayopelekea wanaume wa kizungu kuchelewa kuoa ni sheria zao za mgawanyo wa mali tu, na siyo hizo sababu zenu za kipumbavu zisizo na uhalisia, wewe ulisikia wapi wanaume wa kizungu wanatafuta bikira au kusema hawaoi kisa wanawake wao ni malaya uliona wapi
Mashangazi ya kizungu yapo uko kwenye dating apps wanatafuta waume. Narudia tena fanya research zako vizuri
Huko kwenye dating apps hayapo hayo mashangazi ya kizungu tu bali wapo hadi mabinti na vijana wanatafuta wenza, kwahiyo unataka kusema na hao wanaume walioko huko nao wamekosa wanawake ndio maana wanahangaika kutafuta huko, halafu kwa taarifa yako siyo kwamba hao wanawake unaodhani wameishiwa soko hawatongozwi wanatongozwa sana tu ila bado wanaendelea kuchagua wanaume sahihi
 
Mwanaume unakosaje mwanamke wa kuoa😄😄😄😄 utakuwa chizi wewe!!!

📌📌📌Wataolewa na SIMPS(WEAK MEN)!!!
Muhimu ni wao kuolewa, hawataki wanaume wasiojielewa, hao simps ndiyo wazuri
 
tunachakata tuu
 
Masikini mkishaishiwa hoja huwa mnapenda sana kujifariji kwa kutumia ad hominem attacks kama hizi kama defensive mechanism, hapo ukiulizwa una uhakika gani kama mimi niko kwenye hiyo so called toxic phase huna uthibitisho wowote zaidi ya mihemko tu, yani hapo ni sawa na kusema kuwa kwa sababu nawatetea sana walemavu basi na mimi lazima tu nitakuwa mlemavu sasa sijui ni kanuni ya wapi hiyo
 
Hao ni masimp na wale ambao hawana options. Real man mwenye options hawezi kuchagua damaged woman wakati kwenye cycle yake kuna femimine women waliotunza thamani zao, nbsijasema wanaume hawana makosa ninachosema ni kwamba jinsia zinahukumiwa kwa vigezo tofauti. Mwanaume anaweza kuchezea wanawake lakini atakapoamua kutulia atafute mke akifanya vetting yake vizuri atapata mke mwema hata kama past yale inajulikana ni chafu muhimu ru kwa kipindi hicho awe amejipata. Lakini past ya mwanamke ikiwa chafu hakuna mwanaume mwenye akili timamu anaweza kufanya nae maisha, vingenevyo auziwe mbuzi kwenye gunia kama nilivyosema uko hawali
Kwani Jadda mwanamke mwanamke kujotunza ni adhabu au kitu kibaya? sawa tuseme kuna wanaume waalibifu embu tuachane na hawa wanaume kwanza tuongelee wewe mwenyewe binafsi. Ukiamua kujitunza mpaka utakapoolewa kuna ubaya wowote? Maana kwa mtazamo wako ni kwamba unakubaliana na reckless life ya wanaaake wa kisasa kwa kigezo kwamba watakapohitaji kuolewa watapata mume tu pamoja past zao chafu
Hata makanisani pia kuna mabinti wadogo wanaenda uko kutafuta mume. Nimetumia mfano wa dating apps kwa sababu uko wazungu ndipo wana-prefer zaidi ya masuala ya kwenda kutfuta miujiza kanisani
 
Wewe upo kwenye toxic phase., acha blah blah wote ni watu wazima hapa na tunaelewa
 
Kuanzia miaka 18 mpaka 27 unapigwa fingering nyuma, una lamba mibolo unameza kabisa na cums alafu leo umeoza unataka uolewe na mimi. K kibuyu wewe..
Kijana kwani ni nani huyo anayelazimisha kuolewa na wewe inaonekana una hasira naye sana, wewe ni nani na una nini hadi uhisi wanawake kuna kitu watakosa wasipoolewa na wewe, na hata kama wapo wanawake wanaotaka kuolewa na wewe basi lazima wana akili za kipumbavu kama zako
 
Unajua watu kundi la watu wenye maisha marefu ni wanawake walio single na wanaume waliooa 😃
 
Hapo ni kujipiga tu lidemu la masela kama kawa, kisha unakikataa na kijikausha kama mshumaaa😂😂

🏃🏃🏃speed 120Km/hr kwenye kona shwaaaaa.....
Kiukwel wanawake wakitukubali nalo kosa kawitubania ndyo hatr tupu sijui tuwaweke wapiii
 
Kiukwel wanawake wakitukubali nalo kosa kawitubania ndyo hatr tupu sijui tuwaweke wapiii
Kula futa mdomo and mind your business ishi mentality kama ya madrug dealers.

They dont f*ck around and what they care is the flow of money.Kuhusu afya za wangapi zinateketa hiyo sio kazi yao and in that sense you find a pure capitalist mind.
 
Kwanin watu humu mnapenda mada za kumkosoa mwanamke as if mmezaliwa na wanaume wenzanu show some respect kidogo Kwa mwanamke

Nyie ni wazaz wajao I hope mtazaa hao watoto wakike au wengine mnao halafu baadaya ya miaka 15 tunaomba inshallah uzima na afya Kwa Mungu mtuletee mirejesho humu tusikie hekaheka za watoto wenu sio kitu rahisi kulea mtoto wakike nadhan wazaz mnaelewa kama sio mzaz sidhan kama tunaenda sawa haya maneno mnayoyabwabwaja humu Kuna siku mtakuja kuyakumbuka
Msisahau na watoto wenu wa kiume kwamba utaomba Bora mwanao wa kike kua single mama kuliko mtoto wako wa kiume kua mke wa mtu inshallah liwe kher kwenu
 
Kula futa mdomo and mind your business ishi mentality kama ya madrug dealers.

They dont f*ck around and what they care is the flow of money.Kuhusu afya za wangapi zinateketa hiyo sio kazi yao and in that sense you find a pure cpitalist mind.
Alooo hapa kazi ipo kazn
 
Ilo tunalitambua ndio maana tunakemea mienendo isiofaa. Tungekua tunakosea kama tungefumbia mambo.

We have to stop treating women like kids because this will led to the continuation of the same mistakes because they know even after things fall apart because of their poor decision they will get along with it without been accountable.

Judging women harshly and ruthless atleast will give sense to the and the upcomimg generation that, where they are going is the wrong direction.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…