Zijue mascara na namna ya kupaka

Zijue mascara na namna ya kupaka

img_6427.jpg
kama huyu mhhh
 
Hahaha!, acha tu usukuma haswa..

Huh!, Lakini demi nyusi miezi mitatu?!
Kweli hizi sio zako!
Kweli nakwambia, juzi nimeenda kutinda wanashangaa huo msitu.
Kweli urembo wangu ni nyusi na kucha za miguu tena mara moja kwa mwezi.
Hata nikijitahidi kubadilika nashindwa jamani, ngoja niwe nafanya angalau kila baada ya wiki mbili
 
eti jaman !lol!kumbe hukijui kbs kisukuma my dear !lol !mie sitetwi ila nashindwa kupronounce fresh kwa ile accent yao !hhah mashikolo maana yake vitu vigeni,vitu vipyaaaaa

Uwii!, Hahah!
Acha tu shoga, nakisikia baadhi ya maneno lakini kuongea asee sithubutuu manake najua nitakuwa kituko! [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli nakwambia, juzi nimeenda kutinda wanashangaa huo msitu.
Kweli urembo wangu ni nyusi na kucha za miguu tena mara moja kwa mwezi.
Hata nikijitahidi kubadilika nashindwa jamani, ngoja niwe nafanya angalau kila baada ya wiki mbili

Haha!, duh asee wewe una raha sana lakini.
Wengine tukipitisha wiki mbili unaanza kujihisi na kila mtu anaekuangalia kama vile anakushangaa na nyusi zako..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom