Nalendwa
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 7,467
- 13,026
Ha haaa Mashikolo mageni.
Yaani ni vitu vipya kwangu sivijui. Najifunza kisukuma teh
Tehe!, umeniumbua msukuma mie, Itabidi tujifunze wote...lol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha haaa Mashikolo mageni.
Yaani ni vitu vipya kwangu sivijui. Najifunza kisukuma teh
Kha! Unanitia aibu bwana!Tehe!, umeniumbua msukuma mie, Itabidi tujifunze wote...lol
Ohh!, yeah that's too much!
Mpaka zinaonekana fake..
Nimependa nyweleView attachment 572099 kama huyu mhhh
Kha! Unanitia aibu bwana!
Mwenzio urembo umenipitia mbali yaani zaidi ya kutinda nyusi mara moja kwa mwezi na wakati mwingine napitiliza hata miezi mitatu, kazi kweli kweli..
Kweli nakwambia, juzi nimeenda kutinda wanashangaa huo msitu.Hahaha!, acha tu usukuma haswa..
Huh!, Lakini demi nyusi miezi mitatu?!
Kweli hizi sio zako!
Kha! Unanitia aibu bwana!
Mwenzio urembo umenipitia mbali yaani zaidi ya kutinda nyusi mara moja kwa mwezi na wakati mwingine napitiliza hata miezi mitatu, kazi kweli kweli..
Uvivu unanisumbuahahaha mie nyusi hata km nasubiriwa nenden tu !lazima nizishape iseee nahis urembo upo kwenye nyusi !
eti jaman !lol!kumbe hukijui kbs kisukuma my dear !lol !mie sitetwi ila nashindwa kupronounce fresh kwa ile accent yao !hhah mashikolo maana yake vitu vigeni,vitu vipyaaaaa
Uwii!, Hahah!
Acha tu shoga, nakisikia baadhi ya maneno lakini kuongea asee sithubutuu manake najua nitakuwa kituko! [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli nakwambia, juzi nimeenda kutinda wanashangaa huo msitu.
Kweli urembo wangu ni nyusi na kucha za miguu tena mara moja kwa mwezi.
Hata nikijitahidi kubadilika nashindwa jamani, ngoja niwe nafanya angalau kila baada ya wiki mbili
Haha!, duh asee wewe una raha sana lakini.
Wengine tukipitisha wiki mbili unaanza kujihisi na kila mtu anaekuangalia kama vile anakushangaa na nyusi zako..
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha mie nyusi hata km nasubiriwa nenden tu !lazima nizishape iseee nahis urembo upo kwenye nyusi !
Teh!, kama mimi nilivyo na mascara asee. Nitasamehe vingine lakini sio mascara.
Love It!
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh!, kama mimi nilivyo na mascara asee. Nitasamehe vingine lakini sio mascara.
Love It!
Sent using Jamii Forums mobile app