Zijue mashine ambazo utazikuta Tanzania tu, Kenya hazipo

Sawa naweza kuwa nimekosea kwenye upande unaotumika kuendesha gari lakini hata hivyo hadhi ya barabara iliyoonyeshwa hapo haiwezi kupatikana Tanzania. Hii hapa barabara ya Kenya iliyo kwenye kiwango kama hicho.

Unavyo weka utafikiri ukitoka Mombasa mpaka Kisumu barabara ziko hivyo, hata kwetu tunazo barabara za kujivunia.

 
Naona sasa wakenya wameanza kukodoa kodoa mimacho tu. Subiri tuwashushie kipondo cha mbwa mwizi.
 
CCTV Camera National Stadium, Dar es Salaam - Tanzania




 
Hehehehe ati speed gun, tokens na ETR machines ndio hatuna, we have NTSA that Tz doesn't have, KPLC is bigger than TANESCO by far, which the latter is facing financial cashflows, our KRA beats TRA hands down in everything including revenue collection
KRA collects nearly 17bn$ yearly
TRA yao inawapea ngapi juu wanasema wana EFD mpaka vijijini!! Lol

Haimake sense ku argue nao

Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
 
You can't compete with us you crawling babies
Hawa jamaa wamebaki maneno mengi tu hawana lolote. Sasa hawa hapa ni wazee wa kazi. Watuoneshe mitutu ya kisasa kama hiyo hapo. Very small and powerful, special for operation. Siyo kwenda na mizinga kukimbiza vibaka wanne westgate


 
Huna uwezo wewe. Kojoa ukalale. Hahahahaha!!!
Pole naona umewashwa ndio hali ya dunia
Hawa jamaa wamebaki maneno mengi tu hawana lolote. Sasa hawa hapa ni wazee wa kazi. Watuoneshe mitutu ya kisasa kama hiyo hapo. Very small and powerful, special for operation. Siyo kwenda na mizinga kukimbiza vibaka wanne westgate




Sent from my GT-N7000 using JamiiForums mobile app
 
Pheeeew Had posted too much info there

Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
 
Pole naona umewashwa ndio hali ya dunia



Sent from my GT-N7000 using JamiiForums mobile app
Naona povu linakutoka. Kunya maji kidogo upunguze hasira. Haya ndiyo mambo ya LDC. Hamna kwenu vitu kama hivyo. Vijana wanne tu pale westgate mnaenda na mizinga.
TZ kuna vitu vinaitwa amphibious tanks kwenu vipo?



https://JamiiForums.com.s3.amazonaws.com/2017/03/152164_9c34a9fab57257a063f20161a69dc5fc.jpg
 
Lemmi re do that

KCB AGENT FOR KCB MPESA

KCB APP FOR KCB BANK
YOU can pay anything from school fees to international purchases from your mobile phone



Mula Payment System Links you to
Paypal
Skrill
Mpesa
Equity
Barclays
Standard
Payza
Visa
Mastercard
Etc


Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…