Zijue mbinu za Kisasa za Kumkwepa kumlipa nauli Kondakta katika Daladala

Safi sana mkuu basi tutaweka vizuri na imekua vizuri kwa kuwa nipo kwenye hatua nzuri ya kuweka platform kufanya mapinduzi kwenye comedy na actually tutakua na weekly show kwenye TV maana director tayari yupo. Hope utasahau hata ajira tukomae na hii kitu. Unaweza cheki uzi niliotupiaga kwenye jukwaa la burudani kuhusu ku-invite watu wenye kipaji
 

Ila tutashindwana sehemu moja tu Mkuu kwani sitaki Mimi na Wewe tutambuane kwa sababu zangu zilizo nje ya uwezo wangu. Ukomedi wangu nitaufanyia humu humu tu Jamvini JF panatosha. Mpango wa kuanza kujulikana GENTAMYCINE ni nani hasa wala siutaki na hivi namulikwa na wengi ndiyo itakuwa hatari zaidi.

Naomba radhi sana kwa uamuzi wangu huu Mkuu na nina imani kubwa kuwa utakuwa umenielewa vyema tu na utaheshimu pia maamuzi yangu haya Kuntu kabisa.

Kila la kheri Mkuu.
 
Kweli huna cha kufanya mpka uumize kichwa kwa kutoa post useles kma hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
,hehehehe JPM legeza kidogo......vyuma vimekaza huku mtaani.

Sent from my Compaq desktop-1997 Using Jamiiforums desktop app
 
Sina tatizo na hilo mi lengo langu nipate masela kama wanne ambao ni the best kwenye performance so kwa kuwa umesema ni mwandishi mzuri hiyo inatosha kufanya biashara huku ukimaintain ur anonymity maana kwenye uandishi ndio kila kitu.
 
Sina tatizo na hilo mi lengo langu nipate masela kama wanne ambao ni the best kwenye performance so kwa kuwa umesema ni mwandishi mzuri hiyo inatosha kufanya biashara huku ukimaintain ur anonymity maana kwenye uandishi ndio kila kitu.

Kwani wakati wa kunilipa si itabidi nikupe details zangu zote ili unitumie mtonyo wangu? Je katika mchakato huo hutomjua GENTAMYCINE halisi kweli? Halafu kwa maelezo yako tu haya nimeshakuhisi kuwa Wewe ni mwana ' Eagle Wing House ' tena kwa 100%. Jaribu mbinu nyingine Mkuu kwani ulikoamkia leo Mimi nimelala juzi.
 
Mi nazungumza business mkuu we unaniletea habari za majanga yako ya jf kama unatumiaga ur unanimous ID vibaya it's non of my business kwani hata kama ni malipo ungeweza kufanya kupitia njia unayoona kwako ni salama. Wengine tunatumia mitandao kutafuta fursa na connection za kufanya mapinduzi sio kutafutana. Hiyo thread yangu hapo chini inazaidi ya mwezi sasa how comes ihusiane na majanga yako

Bongo Stand up comedy show
 
Alaa kumbe...sahihi kabisa
 
Zijaribu tu Mkuu hizo Saba ( 7 ) nina uhakika moja wapo ukiipatia vizuri utaokoa sana Tsh 400/= au Tsh 800/= daily.
Mkuu nimecheka sana wewe Kiboko
Bahati mbaya situmii daladala kwa sasa lakini wacha nipande nijaribu mbinu zako kama zitafanya kazi
 

Mkuu kwani ugomvi? Unalazimisha nini? Umetumwa kudili na GENTAMYCINE? Sikia huwa ni Kiwango changu cha uvumilivu wa Upumbavu unaoelekezwa Kwangu hivyo naomba uachane na Mimi kwani najijua mwenyewe na huenda next time nisikujibu Kidiplomasia hivi. Nimeshakuambia kwa sababu zangu zilizo nje ya uwezo wangu kwa vyovyote vile sitoweza kufanya Kazi nawe sasa unalazimisha nini? Endele tu Kushoboka nami nikupe dozi yako mujarab tuheshimiane vizuri.

Nimemaliza.
 
You think I care ukinitukana kama unavyofanya kwa wengine labda? I was surprised kuniambia mambo ya ajabu eti namimi ni walewale do u think kwamba kila mtu humu jf anamambo ya hovyohovyo? I was only impressed with what u said you have and I don't lose a thing ukibaki na hicho unachosema ni kipaji coz ni chako na I was just trying to sell u an idea sasa unanitisha kunitukana eti hutotumia tena diplomasia hivi jf mnatumiaga kwa manufaa gani? Nimekuwekea na link ya 3 months ago to support what I meant halafu unasema unatafutwa hicho ndio kitu kimenishangaza ulipaswa tu kukataa na sio kuniambia nakutafuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…