maroon7
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 11,311
- 15,640
Safi sana mkuu basi tutaweka vizuri na imekua vizuri kwa kuwa nipo kwenye hatua nzuri ya kuweka platform kufanya mapinduzi kwenye comedy na actually tutakua na weekly show kwenye TV maana director tayari yupo. Hope utasahau hata ajira tukomae na hii kitu. Unaweza cheki uzi niliotupiaga kwenye jukwaa la burudani kuhusu ku-invite watu wenye kipajiNitake radhi upesi Mkuu. Nimekuambia kuwa Ukomedi upo damuni mwangu na kama ungebatika kukutana na Wanafunzi niliosoma nao kuanzia Primary na hadi University wangekuambia vizuri. Na Kipaji hiki nimekirithi kutoka Kwa Baba, Babu na Bibi yangu. Nikipata tu platform nzuri Watanzania mnaweza mkawasahau hawa Makomedi wenu na kila siku mkawa mnatibu tu mbavu zenu kwa Kucheka.