Hapana,kikubwa ni kutafuta connection ya walioiva.Hujui mjini kila kitu ni connection??- mimi nadhani kama ni waongo na matapeli naona ni bora ujaribu kuendesha kesi mwenyewe.
Usiseme hivyo mkuu,ktk kutafuta unajikuta mara paap unawahitaji,nimeishasema hapo juu,ni vyema yasemwe ili ukweli ubaki kwenye makablasha ya JF yatakuja kuwafaa vijana wajao.Mambo yao waachie wenyewe...
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...Usiseme hivyo mkuu,ktk kutafuta unajikuta mara paap unawahitaji,nimeishasema hapo juu,ni vyema yasemwe ili ukweli ubaki kwenye makablasha ya JF yatakuja kuwafaa vijana wajao.
Mbona walimu wanasemwa.
Madaktari washasemwa na maabara zao.
Mawaziri.
Maaskari n.k
Hii ni JF where we dare to talk.....
Unazisoma na kurekebisha. Lazima ujue anavhoandika na anachozungumza. We nunua muhuri wake, usiamini kila kitu.-ukitaka kuisimamia Plaint unafanyaje kwani?
- na ukiwasimamia kwenye kesi unafanyaje mkuu?
kwa mfano ni makosa gani unaweza kuyakuta kwenye plaint?Unazisoma na kurekebisha. Lazima ujue anavhoandika na anachozungumza. We nunua muhuri wake, usiamini kila kitu.
- utaishia kuwekewa mapingamizi na kesi yako kufutwa, na ulipishwe gharrama za kesiInaruhusu kuanzia mahakama ya mwanzo mpaka mahakama ya Rufani.
Na ukiendesha mwenyewe unakuwa na mamlaka ya kufanya mambo yote ya kisheria kama ambavyo yangefanywa na wakili
Ooh angalau ukiwa na basic ya certificate ya sheriaSio kumhoji tu bali unaweza hata kumwambia aisome PGO mbele ya mahakama, unaweza hata kumwambia kuwa anaongea uongo mahakamani au unaweza kumuita kabisa kuwa ni muongo na asiyeaminika.
Hahah mapingamiz- utaishia kuwekewa mapingamizi na kesi yako kufutwa, na ulipishwe gharrama za kesi
Argue.Watanzania wengi nikiri hata Mimi hatujui sheria and we don't have confidence to urge in front of juries
Mapingamizi ni nyenzo ya wanasheria wazembe wanaoogopa jambo kusikilizwa kwenye substance, Yaani wanazuia mtu asisikilizwe kwa sababu ndogo ndogo sana za kiufundi. Katiba ya nchi inaeleza kuwa mahakama katika kutoa haki haitakiwi kukomaa na mambo ya kiufundi bali ijikite katika kusikiliza shauri kwenye substance (merit), kwa kuzingatia hilo ndio sababu Jaji Mkuu kutunga kanuni maarufu ziitwazo Oksijeni (overriding objective) ili kutoa tiba kwa mapingamizi yasiyo na maana. Uelekeo mbeleni ni kuja kuyaondoa kabisa mapingamizi mahakamani, watu wasikilizwe kwenye merit. Pingamizi labda liwe uwezo wa mahakama.- utaishia kuwekewa mapingamizi na kesi yako kufutwa, na ulipishwe gharrama za kesi
Hili la kutojua sheria ni kweli kabisa, sheria tunatunga wenyewe kupitia wabunge wetu ila hatutaki kuzisoma. Ikifika kipindi cha kutoa maoni ya muswada, hatutoi maoni. Ukienda mahakamani unaona jinsi watu wanavyojikunyata, wanaogopa vibaya mno majengo ya mahakama mpaka waheshimiwa mahakimu na majaji. Ndio inapelekea uoga hata kuhoji mahakamaniWatanzania wengi nikiri hata Mimi hatujui sheria and we don't have confidence to urge in front of juries
Ongezea nyama kidogo kuhusu Huyo wakili msomi babuKitambo hiyo muajir alinitupia virago washkaj wakanishaur km vp niende mahakaman.
Nikaenda pale mnara wa saa jengo la pemben hv kuna ofis ya uwakil mule baada ya kutoa maelezo ya kina+vielelezo jamaa wakaniambia hiyo kesi unashinda fasta ila niweke 20m ubaon,nikawaambia sasa km wana uhakika nitashinda na nikishinda nitalipwa malipo mlima kwa nin wao wanataka niwalipe kabla, TUKASHINDWANA.
Wakat natoka mule ndan kuna mzee alikua kakaa kwa fundi saa pale nje akaniita na kunivuta chemba na kuanza kunipanga kuwa yey ni wakil msom tena ni sinia ameshasimamia kesi nyingi akaanza kunitolea nyaraka na vitambulisho ili kusadifu anachokisema mwishowe akataka nimueleze jambo langu.
Nikaanza kwa kumwambia kuwa sina hata mia kwa hiyo mwishowe asije akaniambia kuhusu pesa, nikamweleza mwanzo mwisho na nikamuonesha makabrasha yangu.
Yule mzee akashaur tuanze kazi mara moja kwa kufungua kesi ktk mahakama ya kazi na yey akawa ndio wakil wangu kwa makubaliano kuwa nitampa robo ya kile nitakacholipwa na mwajir.
Ikawa kila siku ya kesi tunakutana samora mkabala na jengo la harbour view nalipia kahawa aliyokunywa na safar ya mahkaman tunaenda mdogomdogo tukitoka mahakaman nampa elf tano mpaka kesi ilipoisha kwa ushind wa upande wetu.
Mungu ambarik yule mzee.
Sent using Jamii Forums mobile app
- si kweli kwamba mapingamizi ni nyenzo ya mawakili wazembe wanaogopa kesi kusikilizwa kwenye substance , kwa sababu zifuatazoMapingamizi ni nyenzo ya wanasheria wazembe wanaoogopa jambo kusikilizwa kwenye substance, Yaani wanazuia mtu asisikilizwe kwa sababu ndogo ndogo sana za kiufundi. Katiba ya nchi inaeleza kuwa mahakama katika kutoa haki haitakiwi kukomaa na mambo ya kiufundi bali ijikite katika kusikiliza shauri kwenye substance (merit), kwa kuzingatia hilo ndio sababu Jaji Mkuu kutunga kanuni maarufu ziitwazo Oksijeni (overriding objective) ili kutoa tiba kwa mapingamizi yasiyo na maana. Uelekeo mbeleni ni kuja kuyaondoa kabisa mapingamizi mahakamani, watu wasikilizwe kwenye merit. Pingamizi labda liwe uwezo wa mahakama.
Kuhusu gharama za kesi, hata ukiwa na wakili, upande unaoshinda ni lazima upewe gharama, na ukinyimwa basi kuwe na sababu za kwa nini umenyimwa.
Mlete mdhunguuHatujamalidhaaaaaaa...
Hawa wa 20m ukakimbia mbio😂Kitambo hiyo muajir alinitupia virago washkaj wakanishaur km vp niende mahakaman.
Nikaenda pale mnara wa saa jengo la pemben hv kuna ofis ya uwakil mule baada ya kutoa maelezo ya kina+vielelezo jamaa wakaniambia hiyo kesi unashinda fasta ila niweke 20m ubaon,nikawaambia sasa km wana uhakika nitashinda na nikishinda nitalipwa malipo mlima kwa nin wao wanataka niwalipe kabla, TUKASHINDWANA.
Wakat natoka mule ndan kuna mzee alikua kakaa kwa fundi saa pale nje akaniita na kunivuta chemba na kuanza kunipanga kuwa yey ni wakil msom tena ni sinia ameshasimamia kesi nyingi akaanza kunitolea nyaraka na vitambulisho ili kusadifu anachokisema mwishowe akataka nimueleze jambo langu.
Nikaanza kwa kumwambia kuwa sina hata mia kwa hiyo mwishowe asije akaniambia kuhusu pesa, nikamweleza mwanzo mwisho na nikamuonesha makabrasha yangu.
Yule mzee akashaur tuanze kazi mara moja kwa kufungua kesi ktk mahakama ya kazi na yey akawa ndio wakil wangu kwa makubaliano kuwa nitampa robo ya kile nitakacholipwa na mwajir.
Ikawa kila siku ya kesi tunakutana samora mkabala na jengo la harbour view nalipia kahawa aliyokunywa na safar ya mahkaman tunaenda mdogomdogo tukitoka mahakaman nampa elf tano mpaka kesi ilipoisha kwa ushind wa upande wetu.
Mungu ambarik yule mzee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa ushuhuda huu,naomba nawengine muwe wa wazi ili tusaidiane!Kitambo hiyo muajir alinitupia virago washkaj wakanishaur km vp niende mahakaman.
Nikaenda pale mnara wa saa jengo la pemben hv kuna ofis ya uwakil mule baada ya kutoa maelezo ya kina+vielelezo jamaa wakaniambia hiyo kesi unashinda fasta ila niweke 20m ubaon,nikawaambia sasa km wana uhakika nitashinda na nikishinda nitalipwa malipo mlima kwa nin wao wanataka niwalipe kabla, TUKASHINDWANA.
Wakat natoka mule ndan kuna mzee alikua kakaa kwa fundi saa pale nje akaniita na kunivuta chemba na kuanza kunipanga kuwa yey ni wakil msom tena ni sinia ameshasimamia kesi nyingi akaanza kunitolea nyaraka na vitambulisho ili kusadifu anachokisema mwishowe akataka nimueleze jambo langu.
Nikaanza kwa kumwambia kuwa sina hata mia kwa hiyo mwishowe asije akaniambia kuhusu pesa, nikamweleza mwanzo mwisho na nikamuonesha makabrasha yangu.
Yule mzee akashaur tuanze kazi mara moja kwa kufungua kesi ktk mahakama ya kazi na yey akawa ndio wakil wangu kwa makubaliano kuwa nitampa robo ya kile nitakacholipwa na mwajir.
Ikawa kila siku ya kesi tunakutana samora mkabala na jengo la harbour view nalipia kahawa aliyokunywa na safar ya mahkaman tunaenda mdogomdogo tukitoka mahakaman nampa elf tano mpaka kesi ilipoisha kwa ushind wa upande wetu.
Mungu ambarik yule mzee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanapiga za uso hawaangalii majanga uliyokuwa nayoHawa wa 20m ukakimbia mbio[emoji23]
Hakuwa na mbwembwe mahakaman tulikua tunatembea mdogomdogo baada ya kunywa kahawaOngezea nyama kidogo kuhusu Huyo wakili msomi babu
Hongera kwa ufafanuzi,inaonesha unaoufahamu juu ya Law firm.- si kweli kwamba mapingamizi ni nyenzo ya mawakili wazembe wanaogopa kesi kusikilizwa kwenye substance , kwa sababu zifuatazo
Mosi Kuna Mapingamizi ambayo yako kwenye point of law, mfano umeambiwa ufungue kesi ndani ya muda fulani ww unasubiri muda umeisha ndio unafungua kesi, hapo lazima uwekewe pingamizi kwa kigezo kwamba uko time barred kinyume na sheria ya ukomo.
Kingine mtu kakosea jinsi ya kushitaki unataka aachwe tu? hapo lazima uwekewe pingamizi na kesi kufutwa,
Pia, mtu kakosea mahakama ya kufungua kesi yake unataka aachwe? eg. kafungua kesi Mahakama ya wilaya badala ya mahakama kuu Hapo pingamizi lazima uwekewe, na hiyo oxygen principle haitakusaidia.
Kingine, mtu umeandika Plaint yako umeikosea umenukuu vifungu kwenye plaint, hapo lazima pingamizi uwekewe na oxygen principle haitakusaidia.
Halafu umendaa Affidavit umeikosea, mfano umeweka hoja kwenye affidavit wakati hoja haziruhusiwi bali ni facts tu, hapo Oxygen principle haitakusa