Zijue mbwembwe za mawakili

Hapanq, sijajielekeza vibaya. Mahakamani mapingamizi mengi ni ya ajabu ajabu, mtu anapinga kuwa plaint haijasainiwa ilhali mlalamikaji yupo mahakamani... Si umpe tu asaini muendelee na kesi??

Kwenye comment yangu nilisema kuwa baadae mapingamizi yataisha, labda litabaki pingamizi la uwezo wa mahakama (jurisdiction) kwa maana ya kesi kufunguliwa katika mahakama isiyo sahihi au kuwa nje ya muda (hiyo time barred) na other vital.

Hizo za kufungua chini ya vifungu visivyo sahihi tayari mahakama ya Rufani imeshasema kuwa sio FATAL, kama kilichoandikwa ndani kinajitosheleza vifungu sio ishu, vinarekebishwa tu kesi iendelee. Ikumbukwe mahakamani watu hawaendi kutaka kuonesha umahiri wa sheria bali wanataka kupata haki zao, sasa PO lako kama halimalizi kesi, si unaleta usumbufu tu aisee?? Maana huyo mtu atarudi tu mahakamani..au ndio kujiongezea namna ya kupata fees??
 
Kiukweli mimi nikikutana na mtu akijitambulisha yeye ni wakili, basi naamini nimekutana na mshamba mwenye IQ sifuri anaejifanya kujua kilakitu, 90% waliosoma sheria wana akili ndogo sana... Na hao wanao onekana wapo vzuri kisheria ukiwaleta ktk maisha ya kawaida ni Useless Hopeless... Karibuni kwa makasiriko mawakili washamba 😅
 
-acha wivu, si na wewe ukasome Law School ili uitwe Wakili Msomi kama Kibatala.
 
Kwanza nikuweke sawa.Si kila mwanasheria ni wakili.Wakili ni zaidi ya mwanasheria manake anamuhuri,amesajiliwa.Hawa wanasheria hawajasajilia wala hawana mihuri.Na hi ndiyo mana huitwa wakili msomi.
Mbona unajichanganya? Umesema wakili ni mwanasheria aliyesajiliwa na ana mhuri. Sasa mwanasheria asiye sajiliwa na hana mhuri, anaitwa aje wakili?
 
Mbona unajichanganya? Umesema wakili ni mwanasheria aliyesajiliwa na ana mhuri. Sasa mwanasheria asiye sajiliwa na hana mhuri, anaitwa aje wakili?
Hili liunganiko la kuhusianisha mdau na mtu? Maneno yapo mengi mfano! Mwana+Mke
Mwana+Ume
Mwana+kwaya
Mwana+masumwbwi
Mwana+sheria
Mwana+jeshi
Mwana+mboka
Mwana+nyamaza~ mwananyala

Naimani umenielewa MWANAIZAYA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…