Zijue namba za magari ya Tanzania! Pamoja na namba maalum za magari ya viongozi, Serikali na Taasisi za Umma kwa ujumla

[emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Kuna hizi zinakuwaga kwenye msafara wa rais zenye herufi ya
E1 na E2 - escote 1 na 2
 
kwa nini plate number za magari ya watu binafsi hayana herufi I. Mfano T 289 DGI ?.
 
Kuna nyingine niliona imeanza na UT
 
RPC hana namba badala yake anatumia PT, pia mkuu wa wilaya hana anatumia ST, hivyo vyeo inaonekana vipo kisiasa,havitambuliki kikatiba, ndoo maana hata makonda anawafokea ma RPC
Hakuna cheo kinaitwa RPC hayo ni madaraka.
 
116 US EMBASSY
117 UK EMBASSY

Sio zote za usalama. Polisi idara ya upelelezi nao wanazo. lakini tambua pia gari za wenye special number wanazo namba nyingine za kiraia kwa gari hilohilo.
 
ukiona "PLATNUMZ" ujue bishoo fulani hivi mwenye uswahili-swahili mwingi licha ya kuwa na jina, mke mzuri, mijengo ya maana na mkwanja wa kumtosheleza yeye na jamaa zake
Sababu kakulia uswahilini!ulitaka awe mzungu mzungu????
 
Hizi plate number mpaka ufike Dar ndo utaziona lakini huku kajificheni Tarime kuna magari makuu kuu tu yaliyochaka yanakuja kutupwa huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…