jacksonfrancis
Member
- Jul 11, 2015
- 40
- 26
50 India116- US embassy
117-Rusia
119 Uganda
60 Kenya
61 Indonesia
78 Msumbiji
3 Algeria
Nyingine nimesahau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
50 India116- US embassy
117-Rusia
115 EnglandPlate namba za ubaloz zinajulikana kwa namba ya kuanzia ili ijulikane kuwa ni ubaloz gani kwa mfani
T116CD....... Ni marekani
T68CD.........Ni korea
T254CD.......Uingereza
Wengine wanaweza endelea hapo..
Mzee wa ngadaongezeA na KUB ukionA hlo garI ujuE mheshiwA mbowE yupO ndanI
Kwa sababu I inafanana na moja yaani 1. Kwa hiyo wakati wa kukuandikia faini tungechanganyakwa nini plate number za magari ya watu binafsi hayana herufi I. Mfano T 289 DGI ?.
Donor Funded Project AidDFP-A ni Donor Fund Project Africa
Hakuna cheo kinaitwa RPC hayo ni madaraka.RPC hana namba badala yake anatumia PT, pia mkuu wa wilaya hana anatumia ST, hivyo vyeo inaonekana vipo kisiasa,havitambuliki kikatiba, ndoo maana hata makonda anawafokea ma RPC
116 US EMBASSYUFAFANUZI:
1. gari za ikulu zikiandikwa E zinamaanisha Escort. ni xile za kusindikiza misafara ya viongozi
2. tutambue kinachozungumzwa hapa sio vifupi vyovyote vya viongozi bali vifupi kwenye namba za gari. kumbe aliyesema DC(mkuu wa wilaya) nadhani hii haipo kwenye namba za gari.
3. RC-mkuu wa mkoa. hii kweli ipo. ila RPC kwenye magari cjaiona kwangu itakuwa ni elimu mpya. asante kwa uliyetujuza.
4. kweli gari za TISS kwa maadili na mazingira yao hazipaswi kuwa na namba maalumu iki zisiharibu kazi.
5.Polisi pia ktk idara ya upelelezi wanaweza wasitumie PT ili kufanikisha kazi za kiintelijensia
6. gari za kibalozi ukiacha ile CD, kuna namba maalum wamepewa kila ubalozi kiac kwamba gari yoyote ya ubalozi ikipita wapo wanaojua ni ubalozi gani. naomba anayejua atujuze.
Sio zote za usalama. Polisi idara ya upelelezi nao wanazo. lakini tambua pia gari za wenye special number wanazo namba nyingine za kiraia kwa gari hilohilo.
E- escortkuna zile gari za usalama za ikulu huwa zimeandikwa "E" sijui inamaanisha nini na pia kuna gari za ikulu zimeandikwa "J" , kwa anae faham atujuze
Sababu kakulia uswahilini!ulitaka awe mzungu mzungu????ukiona "PLATNUMZ" ujue bishoo fulani hivi mwenye uswahili-swahili mwingi licha ya kuwa na jina, mke mzuri, mijengo ya maana na mkwanja wa kumtosheleza yeye na jamaa zake