Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
1. Alaska
Hiki ni kipande cha ardhi kilichokuwa siku za nyuma chini ya himaya ya Urusi kabla hajakiuza kwa Marekani, lakini Marekani walikinunua na kuwa sehemu ya ardhi yake.
Kisiwa hiki pia huitwa kisiwa cha vijito vizuei vya barafu . KWENYE kisiwa hiki, sehemu zake nyingi jua halizami kipindi Cha majira ya joto MEI- JULAI, hivyo basijua huzama saa sita na nusu usiku na huchomoza dakika 51 baadaye.
2. Canada
Miongoni mwa nchi kubwa duniani Ni pamoja na canada. Canada nayo Ni miongoni mwa nchi chache ambazo mzunguko wake wa usiku na mchana ni wa kustaajabisha.
Nchi hii iliyofunikwa na theluji kwa majira marefu ya Mwaka, sehemu yake ya Kaskazini magharibi jua halizami kwa siku 50 kipindi Cha majira ya joto na huwa kunamuunganiko, wa usiku na mchana.
3. Finland
Finland
4. Iceland
Iceland ni kisiwa cha pili kwa ukubwa barani Ulaya, huku Uingereza kikiwa ni kisiwa kikubwa zaidi. Kisiwa cha Iceland ni cha 18 kwa ukubwa duniani.
Jua halituami kabisa kuanzia tarehe 10 mwezi Mei hadi mwishoni kabisa mwa mwezi wa Saba, na watalii wengi sana hutiririka kipindi hiki kuangalia ajabu hili.
5. Norway
Norway pia hujulikana zaidi kwa jina la nchi ya usiku mnene.
Nchi hii ambayo inapakana na mzingo wa Arctic, usiku na mchana hapa ni vya kustaajabisha kwani si vya kawaida. midnight.
Jua hapa halizami kwa siku takriban 76 kutoka Mei hadi Julai na hivyo kupelekea kusiwe na usiku kabisa kwa kipindi chote cha majira ya joto .
6. Sweden
Sweden Ina hali ya kijiografia ambayo inaifanya kwa kipindi cha mwezi Mei hadi Julai, takriban siku 100 kusiwepo na usiku nchini humo.
Haya ndio maajabu ya uumbaji wa Mwenyezi Mungu.
NB:-
NATAFUTA VITABU VYA HISTORIA VYA MAGUFULI AMBAVYO HAVITATOLEWA TENA KWA AJILI YA KUFUNDISHIA. HUENDA VINA VICHEKESHO VIZURI SANA VITAKAVYO TUPUNGUZIA MAKALI YA MZIGO WA KODI