Zijue Nyimbo zilizotengenezwa na producer Miika Mwamba


Daz Nundaz walionywa sana wasiondoke kwa Miika Mwamba sababu kwa staili yao ni miika tu ndio alikua anaiwezea hasa ile ya kuimba kwa huzuni miika alikua anawawekea vinanda flan hivi amazing, wakabisha. Wakaondoka wakaenda kwa P kulazimishwa kuimba nyimbo za kujirusha sijui jirushe sijui bosi sijui namba nane sijui nipe tano wakaanza kupoteza uhalisia wao na huo ndio ukawa mwisho wao.
 
Chidi benz ft mzee yusuf - Raha za dunia.hivi huyu jamaa anatumia jina gani kwenye social media?.

Alafu kuna mhindi alikuwa anaitwa Amit Mental alietengeneza nyimbo ya Noorah - vijimambo sjui yuko wapi huyu jamaa,kuna mwenye habari zake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…