Chid benz ft mzee yusufu, ni moja kati ya nyimbo ambazo huwa hazikosi kwenye playlist.Chidi benz ft mzee yusuf - Raha za dunia.hivi huyu jamaa anatumia jina gani kwenye social media?.
Alafu kuna mhindi alikuwa anaitwa Amit Mental alietengeneza nyimbo ya Noorah - vijimambo sjui yuko wapi huyu jamaa,kuna mwenye habari zake?

Wimbo wa Tamala nimeupata upo kwenye yutube hu apa
Majani karekodi "nikupe" then baada ya hapo wakazinguana... dojo na domo wakamalizia track zao mj records. nakumbuka hivo.......HB
Jamaa mkali. Ila wanaanza kumpa hata beat xa majani, basi tu
Hii Ngoma kali sana , huyu jamaa alikuwa hatari sanaTamara - hardmad
Ni ufini( Finnish) Finland manKumbe ni mzungu, mindio najua leo
Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
MIka ni hatariHuyo alikuwa noma sana sema watu wengi hawamjui sana, angekaa bongo kwa mda mrefu ndio angekuwa mpinzani wa kweli wa Majani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa was so talented , Tamara ni kali sanaIlikuwaje huyu jamaa aliweza kutofautisha beat kati ya wimbo na wimbo!!!!!.
Mfano
Sauti ya gharama-d knob
Tamara-hardmad wws
Kamanda-daz nundaz!!
Kitu ambacho hawa kina hamorapa wa sasa kinawashinda.
Siyo kweli, ni ngoma moja tu aliyotengeneza majani baadae wakapishana wakaondoka kwake. Hata kwenye interview ya majani aliyofanya wasafi mwaka juzi aliliomgelea hili
Kaisiki saida karoliHuyu mzungu ni kati ya maproducer bora kabisa waliowahi kutokea bongo fleva, zijue ngoma alizotengeneza:
1. Twenzetu - Chegge
2. Salome- Dully sykes
3. Mabinti wa Kitanga- Bwana Misosi
4. Barua - Daz Nundaz
5. Dingi na Taswira - Mandojo Domo Kaya
6. Wange na Baby gal - Mad Ice
7. Fagio la chuma - Fagio la Chuma
8. etc
Embu tajeni ngoma nyingine mnazokumbuka tumuenzi jembe letu kutoka finland. Na sasa kaacha muziki ni mkalimani.
Wimbo wa Tamala nimeupata upo kwenye yutube hu apa