Zijue platform za kimtandao zilizowahi kuwaibia watanzania

Dah hao wote hakuna alienipata hata mmoja
 
Ila asizoee sana ipo siku upstair yake haitafanya kazi
 
NCHI HII INA WAPUMBV NA WAJINGA WENGI KWELI KWELI

ova
Mkuu Kama serikali haita walinda wananchi wake basi kila siku wananchi wataendelea kuibiwa tu pesa zao.
 
ila huez kuanza bila mtaji mrefu sio
Lazima uwe na mtaji mkubwa wa kukodi ofisini nzuri ya kuvutia mafala, lazima utowe ajira za muda kwa ofisini attendant's, na pesa ya promotion kabla mafala hawajaanza kufulika na account kufurika manoti.
 
Lazima uwe na mtaji mkubwa wa kukodi ofisini nzuri ya kuvutia mafala, lazima utowe ajira za muda kwa ofisini attendant's, na pesa ya promotion kabla mafala hawajaanza kufulika na account kufurika manoti.
Hiyo bado ndogo....Hela nyingi zitatoka kwenye kuwalipa wale wa mwanzo mwanzo kabla hujaanza kupata faida
 
Dah hawa jamaa walipromote sana...ila mm nliwaona ni matapel tu. Kwasababu wallet za bitcoin zipo kibao sio kwa system waliokuwa wanaitaka wao.
Ile system yao iikuwa ni ya barter trade sema hizi mambo ni hatari
 
Hao namba 2 walinijia na mbwembwe kama zote.......eti saa sijui 2M ......nikawacheki na good morning zao sijui walijua mi ni zuzu........nikawatimulia mbali huko
 
Tienshy kuna general d kuna wazee wa forex
Usiongee usichokijua kwa forex na kukatalia ama crypto. Labda mtu kulizwa kuwa njoo nikufundishe ama nioo uwekeze hela baadaye unavuna.
Ila Ni legit business mkuu. Sema labda kwa vile iko electronically. Kama unataka manual cheki saivi paundi na gold zimeshuka mno value nasema mno.

So nunua zako paundi zako like 3M baadaye subiria wamalikia wakikaa stable na currency yao utaona.

Paundi Kuna muda inauzwa 3130tzs Ila saivi iko around 2678 tzs kwa each paundi.

Na gold iko down.


Hizi Ni sawa tu walionunua na kutunza mchele tokea 2019 saivi wanacheka mpaka jino la mwisho nje.


Lazima upige forecast za kiuchumi wa kidunia na huku kwa mazao unapiga forecast za stocks za mazao na kinachoathiri mazao yawe mengi ama machache pia unaenda na wanasiasa wanasemaje like kutoa mazao nje ya nchi ama hawatoi.

Sema Sasa hii lazima usome Ni fani Kama fani zingine like lawyer, accountant, teacher,etc sio kuwa ukurupuke kuwa Kuna hela nje nje pote Kuna hela ngumu Ni wewe kuangalia ugumu gani ambao kwako sio ugumu ambao kwa wengine Ni ugumu.
 
Qnet bado ipo mkuu pamoja na kuwaliza sana watu bt bado ipo sema ndo ofisi zao wanaficha ficha. USIMWAMBIE MTUUUU.
 
Nimewakumbuka wale jamaa wanaingia inbox WhatsApp wanaomba urafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…