Zijue platform za kimtandao zilizowahi kuwaibia watanzania

Duh kuna kix changu kililizwa laki saba na global nikamwambia sasa umepata akili
 
kwa wale wenye nyota na bahati zao za kutapeliwa jiandaeni,
Mkiisha sahau ya kalynda kuna jina jipya linakuja kabla ya December
 
Dah mi najua kwa mzumbe pale almost walichukua mil 100+
Sasa hicho ni chuo kimoja tu.
Pale udsm walisepa na Kijiji Kuna mwanangu alikula mzigo mrefu akawaunga na wanae i'la mi nilimkataa japo nilipata kawivu flani hivi.. Mara ghafla chuo kizima kikajiunga.
Ghafla kikawanukia. Watu wiki nzima hawajaingiziwa hela. Ikawa ndo basi tena

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Tunawakumbuka walitupiga tu.... Tafadhili pia tuwaenzi na Tuliowahi kuwapiga japo kidogo DENT na Tala na wengineo kwa naiba ya wa tz ninawakalibisha tena na tena kwenye taifa ili la amani🙃😀😀
 
Forex ni nightmare of being a big shark while you're speculating market instead of trading.
 
Forex ni nightmare of being a big shark while you're speculating market instead of trading.
Iyo nightmare ya kuwa whale ndio inayofanya wanaangukia pua ,Ila deposit like $10k the aim like less than 10% monthly uone Kama hutoipata bila ya ku risk Sana.
Sasa shida ipo una Mia USD unataka $10k ndipo shida inakuja.

Pia pamoja na hiyo ten Alf USD bado isn't safe sailing.
The game is rugged against you to lose.
It's the hardest endeavor ever known to human history or in this planet pia it's one of most rewarding endeavor ever known to human being.
One can make a lot of money in an embarrassing short time period. But the skills and capital take to do this consistently need an effort and longer time to develop them.

Ishu ni wrong info nowhere there's a curriculum.

Ila sijataka kukuaminisha so stay with your beliefs Mana nisizivunje. Utakuwa uliingia unajua utajiri nje nje kumbe inatakiwa usome uwe mtalaaamu wa fani Kama unavyoweza kumuona mwanasheria mahiri anatafuta na anadili na kesi kubwa kubwa za miktaba baina ya nchi na nchi na wewe ukadhania ukiingia kwa law career ghafula bin vuu utakuwa Kama yeye na utaanza kupiga hela.
You've to be ready to dedicate not less than five yrs studying it. Then another 2-3 yrs practising it.

Na bado sio kuwa ndio tiketi unaweza ukaangukia pia chini uka bleed mkuu.
Ni ngumu Mana iko against to out human nature built in our DNA.
 
Ile taasisi iliyowaacha mahujaji uwanja wa JKIA wakati washaaga majumbani kwao nayo sijaiona.
 
Kumbe unajua wale weny capital kubwa ndo wanatingisha soko wanalipeleka wanavyotaka😂😂unatakiwa uwe na sniper entry kujua hao market maker wanaendaje
 
Oriflame iondoe kwenye hiyo list, labda kama unamaanisha wale mawakala waswahili.
 
Hata Mimi kalynda nimekula Pesa ndefu sana na Hadi wanaifunga sikuwa na hela huko [emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…