Rais Samia Suluhu amepeleka neema kigoma na wananchi wameitikia kwa wingi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu kwasababu kigoma ilisahahaulika kwa kipindi kirefu lakini Rais Samia Suluhu amewakumbuka.
Baadhi ya mambo aliyoyafanya Rais Samia Suluhu kwa mkoa wa kigoma ni:
1. Umeme wa uhakika
2. Ujenzi wa hospital za kisasa
3. Uboreshaji miundominu
4. Sekta ya elimu imeboreshwa
5. Kupunguzwa kwa gharama za kilimo
6. Uboreshaji wa mazingira ya kibiashara
7. Maji safi na salama ya uhakika
Kama unazijua sababu zingine endelea kuzitaja maana ni nyingi sana. Kwa maendeleo haya Rais Samia Suluhu anaendelea kuishi mioyoni mwetu watanzania 2025 mama atashinda kwa kishindo.