Kigoma huijui!Huu mji unahitaji jitihada kubwa sana utoke hapa ulipo na sio propaganda za kisiasa!
Hakuna aliesema jpm hajafanya mambo Rais Samia Suluhu aliahidi kumalizia kila kilichaochwa na mtangulizi wake na sasa amefanikiwa kumaliza miradi kwa wakati mama anaupiga mwingi sana kigoma ni sehemu iliyokua imesahaulika lakini mama amepeleka maendeleo mengi na anahakikisha na sasa kigoma itakua mji wa kibishara