Kweli kabisa inaonyesha hata mbigu zinafunguka kwaajili yake Rais Samia Suluhu amefanya jambo kubwa sana Kigoma maana ilisahaulika kwa miaka mingi sanaMama Kaja Kigoma na baraka kubwa sana.
Mvua ya baraka imenyesha sana leo.
hii ni ishara kuwa Rais wetu ana baraka tele.
Mungu aendelee kumlinda.
Punguza makasiliko mkuu Rais Samia Suluhu ni kipenzi cha watu kila anakopita watu wanaitikaHakuna sababu yoyote ile ila ni "ushamba" tu ndio unawasumbua. Ushamba wa ving'ora na msafara wa Rais ndio vimewafanya wajazane hapo.
Mikoa ya pembezoni mwa nchi bado watu wengi ni "washamba washamba " sana.
Mikoa ya Rukwa, Katavi, Kagera, Lindi na nyanda za juu kusini bado kuna "ushamba" mwingi mno.
Kwaiyo wewe umeme, maji, shule unaona havina maana punguza makasili Rais Samia Suluhu anaupiga mwingiYaani kiti cha maana kigoma ni kuanzisha ujenzi wa soko ambayo limeshabomolewa kwa ajili ya kujengwa upya! Pia kuangazia ukarabati wa meli na bandari ya kigoma bila hayo ni blahblah tu!
Kigoma wamempokea mama kwa mikono miwiliDaah! Kasulu town naijua vizuri naona wote wako hapo.
Mpaka sasa Mama anakubalika ila sisi Wapinzani tuna letu jambo akirudi Dar ashughilikie muda ndio huu ati.
uko sahihi kabisaa, hizi ndizo dalili za mtu wa Mungu mwenye baraka.Kweli kabisa inaonyesha hata mbigu zinafunguka kwaajili yake Rais Samia Suluhu amefanya jambo kubwa sana Kigoma maana ilisahaulika kwa miaka mingi sana
Hakuna aliesema jpm hajafanya mambo Rais Samia Suluhu aliahidi kumalizia kila kilichaochwa na mtangulizi wake na sasa amefanikiwa kumaliza miradi kwa wakati mama anaupiga mwingi sana kigoma ni sehemu iliyokua imesahaulika lakini mama amepeleka maendeleo mengi na anahakikisha na sasa kigoma itakua mji wa kibisharaJe!
Yote hayo yameanza na kukamilika ndani ya miaka hii miwili ya Samia Madarakani?
Je!
Katika hizo Barabara unazozitaja,ebu tutajie hata moja tu ambayo Samia alihusika kuweka jiwe la msingi wa kuanzishwa kwa ujenzi wake!
Hii umati ni nguvu ya ziada inayotumika kutoka kwa wabunge na wateule wa Rais,ili kujipendekeza kwamba wako nae sambamba ila ukweli ni kwamba wanatetea kitumbua chao.
Unaita umati wote huo halafu hutski maswali ya moja kwa moja kujua kero zao?
Bullshit propaganda hizo!
Na ni bahati yenu humu JF hakuna identity,ila kwa ujumla mleta mada ni bonge la mpumbavu!
Hata Magufuli alijaza umati mara mbili ya huo.....lakini leo hii umepotelea wapi huko CCM?
Si ndio hao hao wanaomnanga kila uchao?
AMIN 2025 Rais Samia Suluhu hana mpinzaniuko sahihi kabisaa, hizi ndizo dalili za mtu wa Mungu mwenye baraka.
Mungu azidi kumlinda.
Lakini kumbuka awamu ya sita ndio imewakumbuka maana walikaa miaka mingi bila maendeleo lakini Rais Samia Suluhu ameganikisha umeme wa uhakika, elimu maji miundombinuAmewapelekea neema au ni wajibu wa serikali? Mnapoteza fedha za umma kulazimisha watu kuwasujudia kwa kodi zao!
Lakini kumbuka awamu ya sita ndio imewakumbuka maana walikaa miaka mingi bila maendeleo lakini Rais Samia Suluhu ameganikisha umeme wa uhakika, elimu maji miundombinu
Amewapelekea neema au ni wajibu wa serikali? Mnapoteza fedha za umma kulazimisha watu kuwasujudia kwa kodi zao!
Kama hivyo kusingekuwa na haja ya uchaguzi. Kila mtu anafaaa.
Imewauma kweli kweli, pia unaangaliwa uwezekano treni ya SGR kufika kigoma maana ndipo itakapolipa zaidi, tusikosee kama kenya kutengeneza SGR ya Nairobi to mombasa ambayo inawapa hasara tucheze kiakili na mradi huu wa SGR, DAR PORT TO BY ANY MEANS KIGOMA, BURUNDI KIGALI DRCWanakigoma au wanafunzi? Hiyo mbinu ya kuzoa wananchi kwa malori, na kutaka watumishi wa umma kuhudhuria kwa shuruti ni mbinu so outdated. Mnaishia kutumia kodi za wananchi vibaya kwa kusaka kiki za kisiasa.
Umeongea ukweli mtupu , Hawa husomba watu kila wilaya lengo onesha eti anakubalika kumbe hamna kitu, dawati la Siasa la chama ichi lina mbinu nyepesi sanaWanakigoma au wanafunzi? Hiyo mbinu ya kuzoa wananchi kwa malori, na kutaka watumishi wa umma kuhudhuria kwa shuruti ni mbinu so outdated. Mnaishia kutumia kodi za wananchi vibaya kwa kusaka kiki za kisiasa.
Kwani hata vikienda ni fadhila au ni haki yao? Si wanalipa kodiKwaiyo wewe umeme, maji, shule unaona havina maana punguza makasili Rais Samia Suluhu anaupiga mwingi
Acheni mambo ya ajabu, hizo sifa zote ulizoandika mbona hazionekani katika nyuso zao?Tatizo watu wengine mmeshazoea kupinga kila kitu sasa hapo nani anaonekana amelazimishwa wananchi ni wazalendo na wanaona Rais Samia Suluhu amewapekelea neema Kigoma, maana ilisahaulika kabisa.
Zuchu was Nini?Wanakigoma au wanafunzi? Hiyo mbinu ya kuzoa wananchi kwa malori, na kutaka watumishi wa umma kuhudhuria kwa shuruti ni mbinu so outdated. Mnaishia kutumia kodi za wananchi vibaya kwa kusaka kiki za kisiasa.