Zijue sababu za wanaKigoma kumpokea kwa wingi Rais Samia

Kigoma huijui!Huu mji unahitaji jitihada kubwa sana utoke hapa ulipo na sio propaganda za kisiasa!
 
Wanakigoma au wanafunzi? Hiyo mbinu ya kuzoa wananchi kwa malori, na kutaka watumishi wa umma kuhudhuria kwa shuruti ni mbinu so outdated. Mnaishia kutumia kodi za wananchi vibaya kwa kusaka kiki za kisiasa.
Aha haa ndo akili za Fisiemu izo
 
Ila hii nchi bado ina watu wengi sana masikini, ukiangalia muonekano wa wahudhuriaji, mavazi yao, pia wanavyo jieleza wakihojiwa unagundua kuna mahali hapoko sawa kwenye elimu ya kujitambua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…