IamBrianLeeSnr
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 2,010
- 4,179
ZIJUE TABIA ZA KANISANIUnaruhusiwa kushare mpendwa.
Kutumia Biblia ya kwenye simu huo ni mpango unaoratibiwa na na shetani, hivyo unaposisitizwa uzime simu wakati wa ibada uelewe mpendwamada ilikuwa ni kutumia biblia ya kwenye simu je ni sahihi au siyo??? Maana waumini wengi ndo tunafanya ivo siku hizi.
Waendelee tu kukaa karibu na waume zao, Ila marufuku kuonyeshana mahaba ktk ibada.unawaambiaje wale wanawake walioolewa huwa wanatabia ya kuacha kukaa upande wa wanawake wenzao na kuja kukaa karibu na waume zao
Umetoka kusema wachungaji ni sahihi kutumia ili kurahisisha mafundisho,,,waumini kusoma na kujifunza maandiko kupitia simu wakiwa kanisani huo umekuwa mpango wa shetani,,for which reason???? Basi huyu shetani ni mwehu tu asiyejua alifanyalo.Mpango wa shetani huo
Hivi kwanini bado Africa tupogizani kiasi hiki?
1: MZUNGU KATULETEA DINI
2: MZUNGU KATULETEA MAVAZI
3: MZUNGU KATULETEA UTANDAWAZI
4: MZUNGU KATULETEA NJIA ZA MAWASILIANO
5: MZUNGU KATULETEA TAHARUKI MBALIMBALI NA MAFUNZO JUU YA MAHUSIANO
6: MZUNGU HUYO BADO ANATUMALIZA KWA MAGONJWA YA KUTENGENEZA ILI AENDELE KUFANYA BIASHARA YA KUUZA MADAWA YA TIBA
7: MZUNGU ANAJALI MASLAHI ANAYOPATA KWA KUUZA THAMANI ZA KWENYE NYUMBA ZA IBADA
8: WEWE MTU MWEUSI UPO GIZANI NA HUTAKI KUAMINI KUWA DINI ZILIKUJA KIBISHARA NA HUJUI NI NJIA IPI HASWA UTUMIE KUMFAHAMU MUNGU WA KWELI
Toka gizani sasa na uanze kujifunza kuhusu mungu wa kweli na kwa njia zipi unaweza kufikia uwepo wake..
Mchawi huwa anapiga siku yoyote tu, muhimu ni kuwa makini kwa kuomba kila mara, kila siku na kila saa.Siku ya wachawi kuwapiga fire Wakristo.
Wakristo badilini mbinu za kupambana na wachawi.
Muumini yeye anatakiwa kusikiliza na kunukuu kwa pen na karatasi atarudia baada ya ibad.ili kuokoa mda wa Ibada.Umetoka kusema wachungaji ni sahihi kutumia ili kurahisisha mafundisho,,,waumini kusoma na kujifunza maandiko kupitia simu wakiwa kanisani huo umekuwa mpango wa shetani,,for which reason???? Basi huyu shetani ni mwehu tu asiyejua alifanyalo.
Wapelekee pia waliopo nje ya jamii forumsZIJUE TABIA ZA KANISANI
Kwa akina dada vaa nguo yenye kusitiri mwili wako, ficha matiti yako na usionyeshe mapaja na matako yako ukiwa kanisani - haswa ikiwa umeketi mbele au unaongoza nyimbo za sifa na ibada. Kwa nini umkengeushe nabii na waabudu wengine?
Ukiwa kanisani, zima simu yako. Epuka kutafuna big G. Na usitupe takataka kanisani.
Ukiwa na changamoto ya kusikia usingizi wakati wa ibada, kaa safu ya katikati nyuma kabisa. Unaweza pia kupiga miayo huko.
Acha kuwatazama watu wanapoomba na kusifu - wewe pia umeenda kanisani kuabudu na kusifu hivyo sifu na uombe kama wao.
Acha kuchezea kurasa za biblia hovyo hovyo maana kufanya hivyo ni kukosa adabu - unaweza kufanya hivyo kibinafsi ukiwa nyumbani kwako.
Tafadhali jali watoto wanaolia. Usiondoke kabla ibada haijamaliza, isipokuwa kama utapata dharura.
Kama lilivyo shirika lingine lolote, kanisa pia lina bili - usiende kanisani mikono mtupu nenda na sadaka.
Ikiwa hujui kuimba ama huwa unaimba off-tune kama mimi, tafadhali punguza sauti yako
Wengine wakimaliza kuomba tafadhali nyamaza. Kwa maana Mungu si Mungu wa machafuko (1Kor 14:33).
Kwa wanandoa, peaneni mabusu mkiwa nyumbani au kwenye gari na sio ibadani.
Nakutakia ibada njema.
Ubarikiwe.
Copied from Jamiiforums
Labda jaribu kunishawishi kwa maandiko, ni kitabu gani,sura ipi,mstari upi unaokataza kutumia biblia iliyohifadhiwa kwenye simu,,kwa sababu usizani kila anayetumia simu kanisani basi anakuwa anafanya ushetani unao-uwaza wewe au kufikiri kuwa ametekwa na shetani,,,,sivyo mkuu.Kutumia Biblia ya kwenye simu huo ni mpango unaoratibiwa na na shetani, hivyo unaposisitizwa uzime simu wakati wa ibada uelewe mpendwa
Wanaroga 24 lakini siku ya jumamosi kwao ndio siku ya mashambulizi sana kwa adui zao Wakristo.Mchawi huwa anapiga siku yoyote tu, muhimu ni kuwa makini kwa kuomba kila mara, kila siku na kila saa.
Hapo ushindi utaupata.
Yes, ndio hio niliyotuma Kwa Whatsapp groupsWapelekee pia waliopo nje ya jamii forums
Kuna Ibada nyingine ni heri huo muda uwashe simu uperuzi JF utapata maarifa ya kukujengaKwa akina dada vaa nguo yenye kusitiri mwili wako, ficha matiti yako na usionyeshe mapaja na matako yako ukiwa kanisani - haswa ikiwa umeketi mbele au unaongoza nyimbo za sifa na ibada. Kwa nini umkengeushe nabii na waabudu wengine?
Ukiwa kanisani, zima simu yako. Epuka kutafuna big G. Na usitupe takataka kanisani.
Ukiwa na changamoto ya kusikia usingizi wakati wa ibada, kaa safu ya katikati nyuma kabisa. Unaweza pia kupiga miayo huko.
Acha kuwatazama watu wanapoomba na kusifu - wewe pia umeenda kanisani kuabudu na kusifu hivyo sifu na uombe kama wao.
Acha kuchezea kurasa za biblia hovyo hovyo maana kufanya hivyo ni kukosa adabu - unaweza kufanya hivyo kibinafsi ukiwa nyumbani kwako.
Tafadhali jali watoto wanaolia. Usiondoke kabla ibada haijamaliza, isipokuwa kama utapata dharura.
Kama lilivyo shirika lingine lolote, kanisa pia lina bili - usiende kanisani mikono mtupu nenda na sadaka.
Ikiwa hujui kuimba ama huwa unaimba off-tune kama mimi, tafadhali punguza sauti yako[emoji1787]
Wengine wakimaliza kuomba tafadhali nyamaza. Kwa maana Mungu si Mungu wa machafuko (1Kor 14:33).
Kwa wanandoa, peaneni mabusu mkiwa nyumbani au kwenye gari na sio ibadani.
Nakutakia ibada njema.
Ubarikiwe.
Hayo yote yana maana mahali ambapo Mungu wa kweli anaabudiwa katika roho na kweliKwa akina dada vaa nguo yenye kusitiri mwili wako, ficha matiti yako na usionyeshe mapaja na matako yako ukiwa kanisani - haswa ikiwa umeketi mbele au unaongoza nyimbo za sifa na ibada. Kwa nini umkengeushe nabii na waabudu wengine?
Ukiwa kanisani, zima simu yako. Epuka kutafuna big G. Na usitupe takataka kanisani.
Ukiwa na changamoto ya kusikia usingizi wakati wa ibada, kaa safu ya katikati nyuma kabisa. Unaweza pia kupiga miayo huko.
Acha kuwatazama watu wanapoomba na kusifu - wewe pia umeenda kanisani kuabudu na kusifu hivyo sifu na uombe kama wao.
Acha kuchezea kurasa za biblia hovyo hovyo maana kufanya hivyo ni kukosa adabu - unaweza kufanya hivyo kibinafsi ukiwa nyumbani kwako.
Tafadhali jali watoto wanaolia. Usiondoke kabla ibada haijamaliza, isipokuwa kama utapata dharura.
Kama lilivyo shirika lingine lolote, kanisa pia lina bili - usiende kanisani mikono mtupu nenda na sadaka.
Ikiwa hujui kuimba ama huwa unaimba off-tune kama mimi, tafadhali punguza sauti yako[emoji1787]
Wengine wakimaliza kuomba tafadhali nyamaza. Kwa maana Mungu si Mungu wa machafuko (1Kor 14:33).
Kwa wanandoa, peaneni mabusu mkiwa nyumbani au kwenye gari na sio ibadani.
Nakutakia ibada njema.
Ubarikiwe.
Kwa jinsi ulivyoandika jina 'mungu' , hujui lolote ni heri uulize kabla huja copy na kupaste bandiko la wenyewe.kuhusu mungu wa kweli na kwa njia zipi unaweza kufikia uwepo wake..