Zijue tabia za Kanisani

Zijue tabia za Kanisani

Hivi kwanini bado Africa tupogizani kiasi hiki?

1: MZUNGU KATULETEA DINI
2: MZUNGU KATULETEA MAVAZI
3: MZUNGU KATULETEA UTANDAWAZI
4: MZUNGU KATULETEA NJIA ZA MAWASILIANO
5: MZUNGU KATULETEA TAHARUKI MBALIMBALI NA MAFUNZO JUU YA MAHUSIANO
6: MZUNGU HUYO BADO ANATUMALIZA KWA MAGONJWA YA KUTENGENEZA ILI AENDELE KUFANYA BIASHARA YA KUUZA MADAWA YA TIBA
7: MZUNGU ANAJALI MASLAHI ANAYOPATA KWA KUUZA THAMANI ZA KWENYE NYUMBA ZA IBADA
8: WEWE MTU MWEUSI UPO GIZANI NA HUTAKI KUAMINI KUWA DINI ZILIKUJA KIBISHARA NA HUJUI NI NJIA IPI HASWA UTUMIE KUMFAHAMU MUNGU WA KWELI

Toka gizani sasa na uanze kujifunza mungu wa kweli na kwa njia zipi unaweza kufikia uwepo wake..
 
ZIJUE TABIA ZA KANISANI

Kwa akina dada vaa nguo yenye kusitiri mwili wako, ficha matiti yako na usionyeshe mapaja na matako yako ukiwa kanisani - haswa ikiwa umeketi mbele au unaongoza nyimbo za sifa na ibada. Kwa nini umkengeushe nabii na waabudu wengine?

Ukiwa kanisani, zima simu yako. Epuka kutafuna big G. Na usitupe takataka kanisani.

Ukiwa na changamoto ya kusikia usingizi wakati wa ibada, kaa safu ya katikati nyuma kabisa. Unaweza pia kupiga miayo huko.

Acha kuwatazama watu wanapoomba na kusifu - wewe pia umeenda kanisani kuabudu na kusifu hivyo sifu na uombe kama wao.

Acha kuchezea kurasa za biblia hovyo hovyo maana kufanya hivyo ni kukosa adabu - unaweza kufanya hivyo kibinafsi ukiwa nyumbani kwako.

Tafadhali jali watoto wanaolia. Usiondoke kabla ibada haijamaliza, isipokuwa kama utapata dharura.

Kama lilivyo shirika lingine lolote, kanisa pia lina bili - usiende kanisani mikono mtupu nenda na sadaka.

Ikiwa hujui kuimba ama huwa unaimba off-tune kama mimi, tafadhali punguza sauti yako

Wengine wakimaliza kuomba tafadhali nyamaza. Kwa maana Mungu si Mungu wa machafuko (1Kor 14:33).

Kwa wanandoa, peaneni mabusu mkiwa nyumbani au kwenye gari na sio ibadani.

Nakutakia ibada njema.

Ubarikiwe.

Copied from Jamiiforums
 
Katekista,
unawaambiaje wale wanawake walioolewa huwa wanatabia ya kuacha kukaa upande wa wanawake wenzao na kuja kukaa karibu na waume zao huku upande wa wanaume?.

Maana naona ni kama wanadeka na wanawaringishia wale wenzao ambao hawajaolewa!.
 
Unaruhusiwa kushare mpendwa.
ZIJUE TABIA ZA KANISANI

Kwa akina dada vaa nguo yenye kusitiri mwili wako, ficha matiti yako na usionyeshe mapaja na matako yako ukiwa kanisani - haswa ikiwa umeketi mbele au unaongoza nyimbo za sifa na ibada. Kwa nini umkengeushe nabii na waabudu wengine?

Ukiwa kanisani, zima simu yako. Epuka kutafuna big G. Na usitupe takataka kanisani.

Ukiwa na changamoto ya kusikia usingizi wakati wa ibada, kaa safu ya katikati nyuma kabisa. Unaweza pia kupiga miayo huko.

Acha kuwatazama watu wanapoomba na kusifu - wewe pia umeenda kanisani kuabudu na kusifu hivyo sifu na uombe kama wao.

Acha kuchezea kurasa za biblia hovyo hovyo maana kufanya hivyo ni kukosa adabu - unaweza kufanya hivyo kibinafsi ukiwa nyumbani kwako.

Tafadhali jali watoto wanaolia. Usiondoke kabla ibada haijamaliza, isipokuwa kama utapata dharura.

Kama lilivyo shirika lingine lolote, kanisa pia lina bili - usiende kanisani mikono mtupu nenda na sadaka.

Ikiwa hujui kuimba ama huwa unaimba off-tune kama mimi, tafadhali punguza sauti yako

Wengine wakimaliza kuomba tafadhali nyamaza. Kwa maana Mungu si Mungu wa machafuko (1Kor 14:33).

Kwa wanandoa, peaneni mabusu mkiwa nyumbani au kwenye gari na sio ibadani.

Nakutakia ibada njema.

Ubarikiwe.

Copied from Jamiiforums
 
mada ilikuwa ni kutumia biblia ya kwenye simu je ni sahihi au siyo??? Maana waumini wengi ndo tunafanya ivo siku hizi.
Kutumia Biblia ya kwenye simu huo ni mpango unaoratibiwa na na shetani, hivyo unaposisitizwa uzime simu wakati wa ibada uelewe mpendwa
 
Jumamosi ndio siku wachawi wanaitumia kuwaroga Wakristo kwa kuachilia mapepo na maroho machafu yakalete usingizi ibadani, roho za matamanio kupitia mavazi ya mawakala wao waavao uchi makanisani. Zikiwemo densi za kukata mauno pasipo adabu Ili kusambaza roho ya uzinzi.
Adui Mkubwa wa mchawi ni Mkristo.
Ijumaa usiku wachawi awafanyi Kazi kwa sababu ya mikesha ya Wakristo kuzipiga ngome zao. Wakati jumamosi usiku Wakristo wamelala wachawi wao wapo kazini kurejesha mapigo kwa Wakristo. Thus Wakristo jumapili wanaenda ibadani tayari wakiwa ni dhaifu unaingia kanisani ambapo tayari jana usiku wa jumamosi mchawi kalichafua. Thus Wakristo wanatoka makanisani kama walivyoingia yote wanayaacha ibadani.
Jumamosi inaitwa witchersday. Siku ya wachawi kuwapiga fire Wakristo.
Wakristo badilini mbinu za kupambana na wachawi.
 
unawaambiaje wale wanawake walioolewa huwa wanatabia ya kuacha kukaa upande wa wanawake wenzao na kuja kukaa karibu na waume zao
Waendelee tu kukaa karibu na waume zao, Ila marufuku kuonyeshana mahaba ktk ibada.

Mambo mahaba wakafanyie kwenye gari ama chumbani kwao
 
Mpango wa shetani huo
Umetoka kusema wachungaji ni sahihi kutumia ili kurahisisha mafundisho,,,waumini kusoma na kujifunza maandiko kupitia simu wakiwa kanisani huo umekuwa mpango wa shetani,,for which reason???? Basi huyu shetani ni mwehu tu asiyejua alifanyalo.
 
Hivi kwanini bado Africa tupogizani kiasi hiki?

1: MZUNGU KATULETEA DINI
2: MZUNGU KATULETEA MAVAZI
3: MZUNGU KATULETEA UTANDAWAZI
4: MZUNGU KATULETEA NJIA ZA MAWASILIANO
5: MZUNGU KATULETEA TAHARUKI MBALIMBALI NA MAFUNZO JUU YA MAHUSIANO
6: MZUNGU HUYO BADO ANATUMALIZA KWA MAGONJWA YA KUTENGENEZA ILI AENDELE KUFANYA BIASHARA YA KUUZA MADAWA YA TIBA
7: MZUNGU ANAJALI MASLAHI ANAYOPATA KWA KUUZA THAMANI ZA KWENYE NYUMBA ZA IBADA
8: WEWE MTU MWEUSI UPO GIZANI NA HUTAKI KUAMINI KUWA DINI ZILIKUJA KIBISHARA NA HUJUI NI NJIA IPI HASWA UTUMIE KUMFAHAMU MUNGU WA KWELI

Toka gizani sasa na uanze kujifunza kuhusu mungu wa kweli na kwa njia zipi unaweza kufikia uwepo wake..
 
Siku ya wachawi kuwapiga fire Wakristo.
Wakristo badilini mbinu za kupambana na wachawi.
Mchawi huwa anapiga siku yoyote tu, muhimu ni kuwa makini kwa kuomba kila mara, kila siku na kila saa.

Hapo ushindi utaupata.
 
Umetoka kusema wachungaji ni sahihi kutumia ili kurahisisha mafundisho,,,waumini kusoma na kujifunza maandiko kupitia simu wakiwa kanisani huo umekuwa mpango wa shetani,,for which reason???? Basi huyu shetani ni mwehu tu asiyejua alifanyalo.
Muumini yeye anatakiwa kusikiliza na kunukuu kwa pen na karatasi atarudia baada ya ibad.ili kuokoa mda wa Ibada.
Nani anamcontrol Muumini asiwe bize kwenye simu na mambo mengine nje ya Biblia? Wakati ibada inaendelea.
Makanisa ya kweli waumini wao uzima simu Ili kucontrol usikilizaji.
Achilia haya makanisa ya kina masanja yanaitwa christian science au makanisa ya mwendokasi haya SAwa. Maana yenyewe yalishatoka kwenye maadili ya Kikristo
 
ZIJUE TABIA ZA KANISANI

Kwa akina dada vaa nguo yenye kusitiri mwili wako, ficha matiti yako na usionyeshe mapaja na matako yako ukiwa kanisani - haswa ikiwa umeketi mbele au unaongoza nyimbo za sifa na ibada. Kwa nini umkengeushe nabii na waabudu wengine?

Ukiwa kanisani, zima simu yako. Epuka kutafuna big G. Na usitupe takataka kanisani.

Ukiwa na changamoto ya kusikia usingizi wakati wa ibada, kaa safu ya katikati nyuma kabisa. Unaweza pia kupiga miayo huko.

Acha kuwatazama watu wanapoomba na kusifu - wewe pia umeenda kanisani kuabudu na kusifu hivyo sifu na uombe kama wao.

Acha kuchezea kurasa za biblia hovyo hovyo maana kufanya hivyo ni kukosa adabu - unaweza kufanya hivyo kibinafsi ukiwa nyumbani kwako.

Tafadhali jali watoto wanaolia. Usiondoke kabla ibada haijamaliza, isipokuwa kama utapata dharura.

Kama lilivyo shirika lingine lolote, kanisa pia lina bili - usiende kanisani mikono mtupu nenda na sadaka.

Ikiwa hujui kuimba ama huwa unaimba off-tune kama mimi, tafadhali punguza sauti yako

Wengine wakimaliza kuomba tafadhali nyamaza. Kwa maana Mungu si Mungu wa machafuko (1Kor 14:33).

Kwa wanandoa, peaneni mabusu mkiwa nyumbani au kwenye gari na sio ibadani.

Nakutakia ibada njema.

Ubarikiwe.

Copied from Jamiiforums
Wapelekee pia waliopo nje ya jamii forums
 
Kutumia Biblia ya kwenye simu huo ni mpango unaoratibiwa na na shetani, hivyo unaposisitizwa uzime simu wakati wa ibada uelewe mpendwa
Labda jaribu kunishawishi kwa maandiko, ni kitabu gani,sura ipi,mstari upi unaokataza kutumia biblia iliyohifadhiwa kwenye simu,,kwa sababu usizani kila anayetumia simu kanisani basi anakuwa anafanya ushetani unao-uwaza wewe au kufikiri kuwa ametekwa na shetani,,,,sivyo mkuu.
 
Hivi kwanini bado Africa tupogizani kiasi hiki?

1: MZUNGU KATULETEA DINI
2: MZUNGU KATULETEA MAVAZI
3: MZUNGU KATULETEA UTANDAWAZI
4: MZUNGU KATULETEA NJIA ZA MAWASILIANO
5: MZUNGU KATULETEA TAHARUKI MBALIMBALI NA MAFUNZO JUU YA MAHUSIANO
6: MZUNGU HUYO BADO ANATUMALIZA KWA MAGONJWA YA KUTENGENEZA ILI AENDELE KUFANYA BIASHARA YA KUUZA MADAWA YA TIBA
7: MZUNGU ANAJALI MASLAHI ANAYOPATA KWA KUUZA THAMANI ZA KWENYE NYUMBA ZA IBADA
8: WEWE MTU MWEUSI UPO GIZANI NA HUTAKI KUAMINI KUWA DINI ZILIKUJA KIBISHARA NA HUJUI NI NJIA IPI HASWA UTUMIE KUMFAHAMU MUNGU WA KWELI

Toka gizani sasa na uanze kujifunza kuhusu mungu wa kweli na kwa njia zipi unaweza kufikia uwepo wake..
 
Mchawi huwa anapiga siku yoyote tu, muhimu ni kuwa makini kwa kuomba kila mara, kila siku na kila saa.

Hapo ushindi utaupata.
Wanaroga 24 lakini siku ya jumamosi kwao ndio siku ya mashambulizi sana kwa adui zao Wakristo.
Fanya study umewasikia mbwa wakibweka usiku siku ya ijumaa mida ya wanga Wakristo wakipiga fire? Fanya tafiti utaona
 
Kwa akina dada vaa nguo yenye kusitiri mwili wako, ficha matiti yako na usionyeshe mapaja na matako yako ukiwa kanisani - haswa ikiwa umeketi mbele au unaongoza nyimbo za sifa na ibada. Kwa nini umkengeushe nabii na waabudu wengine?

Ukiwa kanisani, zima simu yako. Epuka kutafuna big G. Na usitupe takataka kanisani.

Ukiwa na changamoto ya kusikia usingizi wakati wa ibada, kaa safu ya katikati nyuma kabisa. Unaweza pia kupiga miayo huko.

Acha kuwatazama watu wanapoomba na kusifu - wewe pia umeenda kanisani kuabudu na kusifu hivyo sifu na uombe kama wao.

Acha kuchezea kurasa za biblia hovyo hovyo maana kufanya hivyo ni kukosa adabu - unaweza kufanya hivyo kibinafsi ukiwa nyumbani kwako.

Tafadhali jali watoto wanaolia. Usiondoke kabla ibada haijamaliza, isipokuwa kama utapata dharura.

Kama lilivyo shirika lingine lolote, kanisa pia lina bili - usiende kanisani mikono mtupu nenda na sadaka.

Ikiwa hujui kuimba ama huwa unaimba off-tune kama mimi, tafadhali punguza sauti yako[emoji1787]

Wengine wakimaliza kuomba tafadhali nyamaza. Kwa maana Mungu si Mungu wa machafuko (1Kor 14:33).

Kwa wanandoa, peaneni mabusu mkiwa nyumbani au kwenye gari na sio ibadani.

Nakutakia ibada njema.

Ubarikiwe.
Kuna Ibada nyingine ni heri huo muda uwashe simu uperuzi JF utapata maarifa ya kukujenga

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
Hayo yote yana maana mahali ambapo Mungu wa kweli anaabudiwa katika roho na kweli

Back
Top Bottom