Zijue tabia za Kanisani

Safi kabisa, lazima tuwe na adabu kwenye nyumba za ibada, huwa sipendi mtu akipokea simu msikitini kwenye mawaidha ya ijumaa
Huo upuuzi katika IBADA yoyote ya swala hakuna achana tu na IJUMAA

SHERIA YA MSIKITINI ukiingia msikitini ZIMA simu yako ikitokea bahati mbaya ukajishau ikaita kwa SAUTI unakata simu na kuzima hata kama upo katikati ya swala

Wewe hizo habari za umetia wapu au umeona wapi JAMBO HILO

na IJUMAA khatibu akishapanda katika MIMBALI kutoa KHUTUBA uruhusiwi kufanya chochote hata kumsalimia mtu kama umemkuta unamjua
Ukifika umemuona rafiki yako kaa chini sikiliza KHUTBA swali swala yako ya IJUMAA ukishamaliza swala yako tu baada kutoa salam
Sasa mpe mkono rafiki yako au mwenzako aliyepembeni mwako kisha nenda katafute RIDHIKI au endelea kuwepo kusikiza matangazo / au daawa ikiwa muda unakuruhusu

HILO JAMBO ULOSEMA NI UZUSHI HAKUNA JAMBO KAMA HILO UWE MSIKITINI IJUMAA HALAFU UPOKEE SIMU HAKUNA JAMBO KAMA HILO NA HALIWEZI KUTOKEA KATIKA SWALA YA IJUMAA
 
Mtoa mada unaonekana una matatizo na GBV,mbona umechambua mavazi ya wanawake tu wawapo kwenye nyumba za ibada, je nini dress code ya wanaume kwenye hizi nyumba takatifu?
Dress Code za Wanaume (ni mapendekezo tu):
1. Usivae "mlegezo" au mavazi kama ya combat za jeshi mifuko mingi kila upande.
2. Tembea kwa kujistahi sio unatembea kwa kudundika kama dume la nyani (esp.Vijana)
3. Uwe nadhifu - Mavazi safi na yenye kuzingatia Heshima, umechana nywele vizuri( achana na kiduku+rasta kwa wakati mmoja) usijivike makorokoro ambayo hata ukiulizwa maana yake hujui e.g. bangili, shanga, cheni, bendera n.k. Usiweke vitu (ear phones au hereni) masikioni.
4. Uwe mtulivu, mstaarabu na mvumilivu -i.e. usitoke-toke kwenda nje bila sababu za msingi wakati shughuli au kipindi maalum kinaendelea
5. Epuka na Acha kuwaangalia kwa udadisi jinsia ya Ke wanavyoimba, wanavyotembea, walivyoketi n.k. Utakwazika tu kwa vyovyote vile hata ukiwa mchungaji.
 
Nahisi hukunielewa, Kuna watu hawazimi cm anaweka silent ikiita anatoka nje kupokea
 
Anzisha Uzi wa adabu za kula ili tuwekane sawa tunapokosea
 

Barikiwa sana
 
Nahisi hukunielewa, Kuna watu hawazimi cm anaweka silent ikiita anatoka nje kupokea
Nimekuelewa na hapo nimekuelewa VIZURI zaidi
Sasa na mm nakuelewesha
Kwenye KHUTBA ya IJUMAA amabapo ww ndo unaita MAWAIDHA hakuna hilo hakuna MUUMIN anayeweza kufanya hivyo jambo hilo 7bu hataaribu ijumaa yake
KUSIKIZA KHUTBA ni nusu ya swala ya IJUMAA
Hvyo ni muhimu sana haiwezekani jambo hilo kutokea
 
Na mabusu wanapeana wakati baba Paroko aka mtume na nabii
 
Na
Omba ipite Sera ya kugegedana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…