proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 6,814
- 10,104
Kambi ya fisi chuga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya tiririka hapo uzi upo tayari mdaa mrefuNimekushauri ufungue uzi so nitadadavua kwenye huo uzi wako
Hapo hapo kabisaKambi ya fisi chuga
Nakuja hukoHaya tiririka hapo uzi upo tayari mdaa mrefu
Thread 'NJIA IPI NI SAHIHI KUFIKIA UWEPO WA MUNGU NA VIPI UNAWEZA KUJIFUNZA UTUKUFU WAKE DUNIANI.'
NJIA IPI NI SAHIHI KUFIKIA UWEPO WA MUNGU NA VIPI UNAWEZA KUJIFUNZA UTUKUFU WAKE DUNIANI.
Huo upuuzi katika IBADA yoyote ya swala hakuna achana tu na IJUMAASafi kabisa, lazima tuwe na adabu kwenye nyumba za ibada, huwa sipendi mtu akipokea simu msikitini kwenye mawaidha ya ijumaa
Dress Code za Wanaume (ni mapendekezo tu):Mtoa mada unaonekana una matatizo na GBV,mbona umechambua mavazi ya wanawake tu wawapo kwenye nyumba za ibada, je nini dress code ya wanaume kwenye hizi nyumba takatifu?
Nahisi hukunielewa, Kuna watu hawazimi cm anaweka silent ikiita anatoka nje kupokeaHuo upuuzi katika IBADA yoyote ya swala hakuna achana tu na IJUMAA
SHERIA YA MSIKITINI ukiingia msikitini ZIMA simu yako ikitokea bahati mbaya ukajishau ikaita kwa SAUTI unakata simu na kuzima hata kama upo katikati ya swala
Wewe hizo habari za umetia wapu au umeona wapi JAMBO HILO
na IJUMAA khatibu akishapanda katika MIMBALI kutoa KHUTUBA uruhusiwi kufanya chochote hata kumsalimia mtu kama umemkuta unamjua
Ukifika umemuona rafiki yako kaa chini sikiliza KHUTBA swali swala yako ya IJUMAA ukishamaliza swala yako tu baada kutoa salam
Sasa mpe mkono rafiki yako au mwenzako aliyepembeni mwako kisha nenda katafute RIDHIKI au endelea kuwepo kusikiza matangazo / au daawa ikiwa muda unakuruhusu
HILO JAMBO ULOSEMA NI UZUSHI HAKUNA JAMBO KAMA HILO UWE MSIKITINI IJUMAA HALAFU UPOKEE SIMU HAKUNA JAMBO KAMA HILO NA HALIWEZI KUTOKEA KATIKA SWALA YA IJUMAA
Anzisha Uzi wa adabu za kula ili tuwekane sawa tunapokoseaKwa akina dada vaa nguo yenye kusitiri mwili wako, ficha matiti yako na usionyeshe mapaja na matako yako ukiwa kanisani - haswa ikiwa umeketi mbele au unaongoza nyimbo za sifa na ibada. Kwa nini umkengeushe nabii na waabudu wengine?
Ukiwa kanisani, zima simu yako. Epuka kutafuna big G. Na usitupe takataka kanisani.
Ukiwa na changamoto ya kusikia usingizi wakati wa ibada, kaa safu ya katikati nyuma kabisa. Unaweza pia kupiga miayo huko.
Acha kuwatazama watu wanapoomba na kusifu - wewe pia umeenda kanisani kuabudu na kusifu hivyo sifu na uombe kama wao.
Acha kuchezea kurasa za biblia hovyo hovyo maana kufanya hivyo ni kukosa adabu - unaweza kufanya hivyo kibinafsi ukiwa nyumbani kwako.
Tafadhali jali watoto wanaolia. Usiondoke kabla ibada haijamaliza, isipokuwa kama utapata dharura.
Kama lilivyo shirika lingine lolote, kanisa pia lina bili - usiende kanisani mikono mtupu nenda na sadaka.
Ikiwa hujui kuimba ama huwa unaimba off-tune kama mimi, tafadhali punguza sauti yako[emoji1787]
Wengine wakimaliza kuomba tafadhali nyamaza. Kwa maana Mungu si Mungu wa machafuko (1Kor 14:33).
Kwa wanandoa, peaneni mabusu mkiwa nyumbani au kwenye gari na sio ibadani.
Nakutakia ibada njema.
Ubarikiwe.
Sijawahi kuonaSafi kabisa, lazima tuwe na adabu kwenye nyumba za ibada, huwa sipendi mtu akipokea simu msikitini kwenye mawaidha ya ijumaa
Sijawahi kuona
Kwani kuna tatizo lolote katika kula?Anzisha Uzi wa adabu za kula ili tuwekane sawa tunapokosea
Kwa akina dada vaa nguo yenye kusitiri mwili wako, ficha matiti yako na usionyeshe mapaja na matako yako ukiwa kanisani - haswa ikiwa umeketi mbele au unaongoza nyimbo za sifa na ibada. Kwa nini umkengeushe nabii na waabudu wengine?
Ukiwa kanisani, zima simu yako. Epuka kutafuna big G. Na usitupe takataka kanisani.
Ukiwa na changamoto ya kusikia usingizi wakati wa ibada, kaa safu ya katikati nyuma kabisa. Unaweza pia kupiga miayo huko.
Acha kuwatazama watu wanapoomba na kusifu - wewe pia umeenda kanisani kuabudu na kusifu hivyo sifu na uombe kama wao.
Acha kuchezea kurasa za biblia hovyo hovyo maana kufanya hivyo ni kukosa adabu - unaweza kufanya hivyo kibinafsi ukiwa nyumbani kwako.
Tafadhali jali watoto wanaolia. Usiondoke kabla ibada haijamaliza, isipokuwa kama utapata dharura.
Kama lilivyo shirika lingine lolote, kanisa pia lina bili - usiende kanisani mikono mtupu nenda na sadaka.
Ikiwa hujui kuimba ama huwa unaimba off-tune kama mimi, tafadhali punguza sauti yako[emoji1787]
Wengine wakimaliza kuomba tafadhali nyamaza. Kwa maana Mungu si Mungu wa machafuko (1Kor 14:33).
Kwa wanandoa, peaneni mabusu mkiwa nyumbani au kwenye gari na sio ibadani.
Nakutakia ibada njema.
Ubarikiwe.
Nimekuelewa na hapo nimekuelewa VIZURI zaidiNahisi hukunielewa, Kuna watu hawazimi cm anaweka silent ikiita anatoka nje kupokea
Na mabusu wanapeana wakati baba Paroko aka mtume na nabiiKwa akina dada vaa nguo yenye kusitiri mwili wako, ficha matiti yako na usionyeshe mapaja na matako yako ukiwa kanisani - haswa ikiwa umeketi mbele au unaongoza nyimbo za sifa na ibada. Kwa nini umkengeushe nabii na waabudu wengine?
Ukiwa kanisani, zima simu yako. Epuka kutafuna big G. Na usitupe takataka kanisani.
Ukiwa na changamoto ya kusikia usingizi wakati wa ibada, kaa safu ya katikati nyuma kabisa. Unaweza pia kupiga miayo huko.
Acha kuwatazama watu wanapoomba na kusifu - wewe pia umeenda kanisani kuabudu na kusifu hivyo sifu na uombe kama wao.
Acha kuchezea kurasa za biblia hovyo hovyo maana kufanya hivyo ni kukosa adabu - unaweza kufanya hivyo kibinafsi ukiwa nyumbani kwako.
Tafadhali jali watoto wanaolia. Usiondoke kabla ibada haijamaliza, isipokuwa kama utapata dharura.
Kama lilivyo shirika lingine lolote, kanisa pia lina bili - usiende kanisani mikono mtupu nenda na sadaka.
Ikiwa hujui kuimba ama huwa unaimba off-tune kama mimi, tafadhali punguza sauti yako[emoji1787]
Wengine wakimaliza kuomba tafadhali nyamaza. Kwa maana Mungu si Mungu wa machafuko (1Kor 14:33).
Kwa wanandoa, peaneni mabusu mkiwa nyumbani au kwenye gari na sio ibadani.
Nakutakia ibada njema.
Ubarikiwe.
Na iwe hivyo mamaBarikiwa sana
Omba ipite Sera ya kugegedanaKwa akina dada vaa nguo yenye kusitiri mwili wako, ficha matiti yako na usionyeshe mapaja na matako yako ukiwa kanisani - haswa ikiwa umeketi mbele au unaongoza nyimbo za sifa na ibada. Kwa nini umkengeushe nabii na waabudu wengine?
Ukiwa kanisani, zima simu yako. Epuka kutafuna big G. Na usitupe takataka kanisani.
Ukiwa na changamoto ya kusikia usingizi wakati wa ibada, kaa safu ya katikati nyuma kabisa. Unaweza pia kupiga miayo huko.
Acha kuwatazama watu wanapoomba na kusifu - wewe pia umeenda kanisani kuabudu na kusifu hivyo sifu na uombe kama wao.
Acha kuchezea kurasa za biblia hovyo hovyo maana kufanya hivyo ni kukosa adabu - unaweza kufanya hivyo kibinafsi ukiwa nyumbani kwako.
Tafadhali jali watoto wanaolia. Usiondoke kabla ibada haijamaliza, isipokuwa kama utapata dharura.
Kama lilivyo shirika lingine lolote, kanisa pia lina bili - usiende kanisani mikono mtupu nenda na sadaka.
Ikiwa hujui kuimba ama huwa unaimba off-tune kama mimi, tafadhali punguza sauti yako[emoji1787]
Wengine wakimaliza kuomba tafadhali nyamaza. Kwa maana Mungu si Mungu wa machafuko (1Kor 14:33).
Kwa wanandoa, peaneni mabusu mkiwa nyumbani au kwenye gari na sio ibadani.
Nakutakia ibada njema.
Ubarikiwe.
Sijakuelewa mpendwaNa mabusu wanapeana wakati baba Paroko aka mtume na nabii
Una maana gani?Na
Omba ipite Sera ya kugegedana