Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Ubishi wa kitoto...!!Vipi simu yangu kama ndiyo biblia na biblia ninayotumia inanilazimu kuwasha data??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubishi wa kitoto...!!Vipi simu yangu kama ndiyo biblia na biblia ninayotumia inanilazimu kuwasha data??
Vipi nikatii yote ila bado nikawa sija-concetrate na ibada???Mwisho wa siku umeambiwa zima simu yako
Sawa lengo lako ilikua tujue kuwa unaenda kanisani lkn kiroho na imani yako bado hujajikabidhi mikono mwa baba muumba wa vyote..Nimeweka hili bandiko kabla sijaenda kanisani mkuu, so usiwe na hofu nami
Usiende kanisani, we kaswali tu basi..!!Vipi nikatii yote ila bado nikawa sija-concetrate na ibada???
Wanawake wanaweza kutamanisha mwanaume kutokana na muonekano wa mavazi yasiyositiri miili yao.mbona umechambua mavazi ya wanawake tu wawapo kwenye nyumba za ibada, je nini dress code ya wanaume kwenye hizi nyumba takatifu?
Jibu hoja kama the great thinker,,,kwani simu ndo itanifanya nisi-concetrate na ibada,,mbona kuna wachungaji wengi sana siku hizi wanaotumia biblia za kwenye simu...umeng'ang'ana tu zima simu,,,hoja yako haina mantiki hata kidogo.Ubishi wa kitoto...!!
Biblia ya kwenye simu haifai kwa matumizi ya kanisani.vipi kama natumia biblia ya kwenye simu??
Una ligi zisizo na maana. Anyway, kwa RC unatakiwa uzime simu na wala haitakiwi tutumie biblia za kwenye simu. Huo ndio muongozi tunaopewa kabla ya kuanza ibada. Sasa nyie huko mnakotumia biblia za kwenye simu endeleeni tu..!!Jibu hoja kama the great thinker,,,kwani simu ndo itanifanya nisi-concetrate na ibada,,mbona kuna wachungaji wengi sana siku hizi wanaotumia biblia za kwenye simu...umeng'ang'ana tu zima simu,,,hoja yako haina mantiki hata kidogo.
Ha ha ha ndo hoja gani hii,,,na wasiwasi hata malezi kama unayaweza,,hujui kumuelewesha mtu kama mtu mzima.Usiende kanisani, we kaswali tu basi..!!
Thanks mkuu, kwa jibu lako nimekuelewa vemaWanawake wanaweza kutamanisha mwanaume kutokana na muonekano wa mavazi yasiyositiri miili yao.
Wanaume hawawezi kutamanisha mwanamke ndio maana sijawaongelea.
kwanini msitenganishe vyumba kuwe na sehemu yawanaume na sehemu yawanawake?au mnapenda kukaa pamoja?Wanawake wanaweza kutamanisha mwanaume kutokana na muonekano wa mavazi yasiyositiri miili yao.
Wanaume hawawezi kutamanisha mwanamke ndio maana sijawaongelea.
Endelea kuamini uanchoamia. Hiyo ndo power ya FAKE IDHa ha ha ndo hoja gani hii,,,na wasiwasi hata malezi kama unayaweza,,hujui kumuelewesha mtu kama mtu mzima.
Kwani ni nini kinachomfanya mtu a-concetrate na ibada??Biblia ya kwenye simu haifai kwa matumizi ya kanisani.
Kumbuka simu yako imebeba mambo mengi sana.
So ukiwa katika Ibada zima simu
Mbona wanihukumu ndugu?Sawa lengo lako ilikua tujue kuwa unaenda kanisani lkn kiroho na imani yako bado hujajikabidhi mikono mwa baba muumba wa vyote..
Kwa kanisan haiwezekani kuwatenganisha watu, zamani waliwatenganisha ila kwa siku hizi za kina mwamposa haiwezekani kuwatenganishakwanini msitenganishe vyumba kuwe na sehemu yawanaume na sehemu yawanawake?au mnapenda kukaa pamoja?
Kama bado mawazo na fikra zako hazipo kwenye ibada iyo siku,,,hata ashuke malaika akae na wewe pembeni bado hutakuwa concetrated,,,mambo ya kushauri sijui fanya hivi,,kumbukeni mnashauri watu wazima siyo watoto...Ibada njema mkuu.Una ligi zisizo na maana. Anyway, kwa RC unatakiwa uzime simu na wala haitakiwi tutumie biblia za kwenye simu. Huo ndio muongozi tunaopewa kabla ya kuanza ibada. Sasa nyie huko mnakotumia biblia za kwenye simu endeleeni tu..!!
Na hii ndo Jamiiforums,,, Where we dare to talk openly.Endelea kuamini uanchoamia. Hiyo ndo power ya FAKE ID