Zijue tabia za Kanisani

Zijue tabia za Kanisani

mbona umechambua mavazi ya wanawake tu wawapo kwenye nyumba za ibada, je nini dress code ya wanaume kwenye hizi nyumba takatifu?
Wanawake wanaweza kutamanisha mwanaume kutokana na muonekano wa mavazi yasiyositiri miili yao.

Wanaume hawawezi kutamanisha mwanamke ndio maana sijawaongelea.
 
Ubishi wa kitoto...!!
Jibu hoja kama the great thinker,,,kwani simu ndo itanifanya nisi-concetrate na ibada,,mbona kuna wachungaji wengi sana siku hizi wanaotumia biblia za kwenye simu...umeng'ang'ana tu zima simu,,,hoja yako haina mantiki hata kidogo.
 
Una ligi zisizo na maana. Anyway, kwa RC unatakiwa uzime simu na wala haitakiwi tutumie biblia za kwenye simu. Huo ndio muongozi tunaopewa kabla ya kuanza ibada. Sasa nyie huko mnakotumia biblia za kwenye simu endeleeni tu..!!
 
Wanawake wanaweza kutamanisha mwanaume kutokana na muonekano wa mavazi yasiyositiri miili yao.

Wanaume hawawezi kutamanisha mwanamke ndio maana sijawaongelea.
kwanini msitenganishe vyumba kuwe na sehemu yawanaume na sehemu yawanawake?au mnapenda kukaa pamoja?
 
Sawa lengo lako ilikua tujue kuwa unaenda kanisani lkn kiroho na imani yako bado hujajikabidhi mikono mwa baba muumba wa vyote..
Mbona wanihukumu ndugu?

Nimetoa bandiko hili kuwasaidia wahanga hizo tabia, wanaweza wakajifunza wakiwa sio wabishi kama wewe.

Kutii ni bora kuliko kulaumu.
 
kwanini msitenganishe vyumba kuwe na sehemu yawanaume na sehemu yawanawake?au mnapenda kukaa pamoja?
Kwa kanisan haiwezekani kuwatenganisha watu, zamani waliwatenganisha ila kwa siku hizi za kina mwamposa haiwezekani kuwatenganisha
 
Una ligi zisizo na maana. Anyway, kwa RC unatakiwa uzime simu na wala haitakiwi tutumie biblia za kwenye simu. Huo ndio muongozi tunaopewa kabla ya kuanza ibada. Sasa nyie huko mnakotumia biblia za kwenye simu endeleeni tu..!!
Kama bado mawazo na fikra zako hazipo kwenye ibada iyo siku,,,hata ashuke malaika akae na wewe pembeni bado hutakuwa concetrated,,,mambo ya kushauri sijui fanya hivi,,kumbukeni mnashauri watu wazima siyo watoto...Ibada njema mkuu.
 
Back
Top Bottom