Zijue tabia za Kanisani

Zijue tabia za Kanisani

Ubishi wa kitoto...!!
Ana hoja.

Mimi BIBLIA yangu Iko kwenye simu na ni rahisi sana kufungua... hata baadhi ya wachungaji pia wanatumia digital..vile vile huwa tuna shoot kama waimbaji wamekuvutia au mahubiri yamekugusa...ila kupokea simu au kupiga hilo sio sawa.
 
Mbona wanihukumu ndugu?

Nimetoa bandiko hili kuwasaidia wahanga hizo tabia, wanaweza wakajifunza wakiwa sio wabishi kama wewe.

Kutii ni bora kuliko kulaumu.
Sawa endelea kutumikia mwaka wako wakwanza kama muumini kanisani tambua bado unasafari ndefu sana kwenye njia za utukufu wa kiroho...Wewe shida yako unaenda kukagua wenzio hapo kanisani kwenu lkn uwepo wako kiroho haupo mokononi mwa baba narudia tena kwa yeyote ajionae ni bora mbele za uso wa wanaomzunguka kwa kutumia kivuli cha utukufu wa bwana basi atakua ni mwenye kutenda dhambi daima
 
mbona kuna wachungaji wengi sana siku hizi wanaotumia biblia za kwenye simu...
Ukiona mchungaji anatumia simu madhabahuni ujue hilo ni kanisa la kihuni tu, hawezi kuwakemea wavaa kihuni, hawezi kamwe yeye anachojali ni sadaka tu, wapo hao watumishi uchwara
 
Acha kuwatazama watu wanapoomba na kusifu - wewe pia umeenda kanisani kuabudu na kusifu hivyo sifu na uombe kama wao.
Kwanini watu wote muombe kwa sauti ya juu? Kwa kufanya hivyo nani anamsikiliza mwenzake? Kama ni lazima wote kuomba kwanini msiombe kimyakimya aka kimoyomoyo? Kwani zile kelele zinasaidia nini katika kusali?
 
siongelei mwamposa.naongelea makanisa yakawaida tuu.kwanini wasitenganishe watu?
Nimekuelewa vyema na ndio maana nimekujibu haiwezekani kutenganisha watu kanisani, tangu enzi na enzi kanisani walikaa pamoja wakimega mkate kwa pamoja.
 
Ukiona mchungaji anatumia simu madhabahuni ujue hilo ni kanisa la kihuni tu, hawezi kuwakemea wavaa kihuni, hawezi kamwe yeye anachojali ni sadaka tu, wapo hao watumishi uchwara
Hamna ujualo kumbe nilitegemea hoja yenye logic kumbe nothing anyway ibada njema.
 
Kwanini watu wote muombe kwa sauti ya juu? Kwa kufanya hivyo nani anamsikiliza mwenzake? Kama ni lazima wote kuomba kwanini msiombe kimyakimya aka kimoyomoyo? Kwani zile kelele zinasaidia nini katika kusali?
Mpendwa kuna makanisa hawaruhusu kuomba zaidi ya mtu mmoja.

Na kuna makanisa kuomba zaidi ya mtu mmoja ni ruksa, huwa wanafanya hivyo hasa katika kipindi cha kuvunja nguvu za giza yaani hapo hakuna kutegemea muombaji mmoja tu.
 
sawa endeleeni kuangalia manyonyo na mapaja ya dada zenu
Macho hayana mpaka mkuu, ndio maana tanawashauri dada zetu wavae mavazi ya kijisitiri vyema.

Wasipovaa vyema watasababisha wengine watende dhambi.
 
Mtoa mada unaonekana una matatizo na GBV,mbona umechambua mavazi ya wanawake tu wawapo kwenye nyumba za ibada, je nini dress code ya wanaume kwenye hizi nyumba takatifu?
Sababu wanawake ndio wenye nguvu ya kuwaangusha wanaume.
Unajua mwanamke avaae mavazi ya kikahaba anaweza zini na kanisa zima au mtaa mzima kwa mda mfupi,pindi wanaume wakimtazama kwa utamanio
 
Mpendwa kuna makanisa hawaruhusu kuomba zaidi ya mtu mmoja.

Na kuna makanisa kuomba zaidi ya mtu mmoja ni ruksa, huwa wanafanya hivyo hasa katika kipindi cha kuvunja nguvu za giza yaani hapo hakuna kutegemea muombaji mmoja tu.
Kiuhalisia hiyo haiwezi kuwa na tija
 
Kuna makanisa yanayobakia duniani na yanayoenda mbinguni
 
Back
Top Bottom