siongelei mwamposa.naongelea makanisa yakawaida tuu.kwanini wasitenganishe watu?Kwa kanisan haiwezekani kuwatenganisha watu, zamani waliwatenganisha ila kwa siku hizi za kina mwamposa haiwezekani kuwatenganisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
siongelei mwamposa.naongelea makanisa yakawaida tuu.kwanini wasitenganishe watu?Kwa kanisan haiwezekani kuwatenganisha watu, zamani waliwatenganisha ila kwa siku hizi za kina mwamposa haiwezekani kuwatenganisha
Ana hoja.Ubishi wa kitoto...!!
Sawa endelea kutumikia mwaka wako wakwanza kama muumini kanisani tambua bado unasafari ndefu sana kwenye njia za utukufu wa kiroho...Wewe shida yako unaenda kukagua wenzio hapo kanisani kwenu lkn uwepo wako kiroho haupo mokononi mwa baba narudia tena kwa yeyote ajionae ni bora mbele za uso wa wanaomzunguka kwa kutumia kivuli cha utukufu wa bwana basi atakua ni mwenye kutenda dhambi daimaMbona wanihukumu ndugu?
Nimetoa bandiko hili kuwasaidia wahanga hizo tabia, wanaweza wakajifunza wakiwa sio wabishi kama wewe.
Kutii ni bora kuliko kulaumu.
Ukiona mchungaji anatumia simu madhabahuni ujue hilo ni kanisa la kihuni tu, hawezi kuwakemea wavaa kihuni, hawezi kamwe yeye anachojali ni sadaka tu, wapo hao watumishi uchwarambona kuna wachungaji wengi sana siku hizi wanaotumia biblia za kwenye simu...
Kama ni hivyo Tuweke simu zote kwenye kikapu huko getini.Biblia ya kwenye simu haifai kwa matumizi ya kanisani.
Kumbuka simu yako imebeba mambo mengi sana.
So ukiwa katika Ibada zima simu
Wewe upo mwaka wa ngapi ktk wokovu wako?Sawa endelea kutumikia mwaka wako wakwanza kama muumini kanisani
Pamoja na utuuzima wako nidhahiri umepata ubarikio mwaka jana bila shaka
Kwanini watu wote muombe kwa sauti ya juu? Kwa kufanya hivyo nani anamsikiliza mwenzake? Kama ni lazima wote kuomba kwanini msiombe kimyakimya aka kimoyomoyo? Kwani zile kelele zinasaidia nini katika kusali?Acha kuwatazama watu wanapoomba na kusifu - wewe pia umeenda kanisani kuabudu na kusifu hivyo sifu na uombe kama wao.
Pamoja na utuuzima wako nidhahiri umepata ubarikio mwaka jana bila shaka
Nimekuelewa vyema na ndio maana nimekujibu haiwezekani kutenganisha watu kanisani, tangu enzi na enzi kanisani walikaa pamoja wakimega mkate kwa pamoja.siongelei mwamposa.naongelea makanisa yakawaida tuu.kwanini wasitenganishe watu?
sawa endeleeni kuangalia manyonyo na mapaja ya dada zenuNimekuelewa vyema na ndio maana nimekujibu haiwezekani kutenganisha watu kanisani, tangu enzi na enzi kanisani walikaa pamoja wakimega mkate kwa pamoja.
Utaibiwa 🤣Tuweke simu zote kwenye kikapu huko getini.
Hamna ujualo kumbe nilitegemea hoja yenye logic kumbe nothing anyway ibada njema.Ukiona mchungaji anatumia simu madhabahuni ujue hilo ni kanisa la kihuni tu, hawezi kuwakemea wavaa kihuni, hawezi kamwe yeye anachojali ni sadaka tu, wapo hao watumishi uchwara
Mpendwa kuna makanisa hawaruhusu kuomba zaidi ya mtu mmoja.Kwanini watu wote muombe kwa sauti ya juu? Kwa kufanya hivyo nani anamsikiliza mwenzake? Kama ni lazima wote kuomba kwanini msiombe kimyakimya aka kimoyomoyo? Kwani zile kelele zinasaidia nini katika kusali?
Macho hayana mpaka mkuu, ndio maana tanawashauri dada zetu wavae mavazi ya kijisitiri vyema.sawa endeleeni kuangalia manyonyo na mapaja ya dada zenu
Sababu wanawake ndio wenye nguvu ya kuwaangusha wanaume.Mtoa mada unaonekana una matatizo na GBV,mbona umechambua mavazi ya wanawake tu wawapo kwenye nyumba za ibada, je nini dress code ya wanaume kwenye hizi nyumba takatifu?
Kiuhalisia hiyo haiwezi kuwa na tijaMpendwa kuna makanisa hawaruhusu kuomba zaidi ya mtu mmoja.
Na kuna makanisa kuomba zaidi ya mtu mmoja ni ruksa, huwa wanafanya hivyo hasa katika kipindi cha kuvunja nguvu za giza yaani hapo hakuna kutegemea muombaji mmoja tu.
Hilo ulijualo wewe ndio upuuzi huo huo wa ku switch on simu yako ukiwa katika Ibada.Hamna ujualo kumbe nilitegemea hoja