Kanisani kwetu tunazima,Simu sio sahihi ibadani,ni rahisi mtu kutoka nje ye ibada akiperuzi yakeUmewahi kumshuhudia nani akitazama ngono kanisani?? Au evidence yako ni ipi?? Au unatoa hoja kufurahisha watu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kanisani kwetu tunazima,Simu sio sahihi ibadani,ni rahisi mtu kutoka nje ye ibada akiperuzi yakeUmewahi kumshuhudia nani akitazama ngono kanisani?? Au evidence yako ni ipi?? Au unatoa hoja kufurahisha watu.
Wanakwenda kusali mapaja nje?lakini anaenda kusali nawapo wengi Sana wadizaini hio
sawa mkuu nazani hata kanisani kwako unawaona.Wanakwenda kusali mapaja nje?
Hapana hao ni mawakala wa shetani
Mungu wetu sio Mungu wa machafuko, kumbuka kuna kiongozi wa maombi hivyo uwe makini kufuata maelekezo yakeKwanini tupimiane kiwango cha maombi? Kwanini nikatishiwe sala yangu?
Zima simu katika Ibadaperception yako ya hovyo kweli,,,basi unaamini una-amini kila anayeswitch on simu yake,,,anakuwa na mambo ya hovyo kama yaliyo kwenye simu yako,,,i feel you sorry!
🙏Sawa mwinji
Kanisani kwangu huwa tunawapa vitenge wajisitiri hadi mwisho wa ibada, ni utaratibu wetu huo.sawa mkuu nazani hata kanisani kwako unawaona.
mada ilikuwa ni kutumia biblia ya kwenye simu je ni sahihi au siyo??? Maana waumini wengi ndo tunafanya ivo siku hizi.Kanisani kwetu tunazima,Simu sio sahihi ibadani,ni rahisi mtu kutoka nje ye ibada akiperuzi yake
Bonge la meseji, naomba niikopi na ku-share kwenye social groups tafadhaliKwa akina dada vaa nguo yenye kusitiri mwili wako, ficha matiti yako na usionyeshe mapaja na matako yako ukiwa kanisani - haswa ikiwa umeketi mbele au unaongoza nyimbo za sifa na ibada. Kwa nini umkengeushe nabii na waabudu wengine?
Ukiwa kanisani, zima simu yako. Epuka kutafuna big G. Na usitupe takataka kanisani.
Ukiwa na changamoto ya kusikia usingizi wakati wa ibada, kaa safu ya katikati nyuma kabisa. Unaweza pia kupiga miayo huko.
Acha kuwatazama watu wanapoomba na kusifu - wewe pia umeenda kanisani kuabudu na kusifu hivyo sifu na uombe kama wao.
Acha kuchezea kurasa za biblia hovyo hovyo maana kufanya hivyo ni kukosa adabu - unaweza kufanya hivyo kibinafsi ukiwa nyumbani kwako.
Tafadhali jali watoto wanaolia. Usiondoke kabla ibada haijamaliza, isipokuwa kama utapata dharura.
Kama lilivyo shirika lingine lolote, kanisa pia lina bili - usiende kanisani mikono mtupu nenda na sadaka.
Ikiwa hujui kuimba ama huwa unaimba off-tune kama mimi, tafadhali punguza sauti yako[emoji1787]
Wengine wakimaliza kuomba tafadhali nyamaza. Kwa maana Mungu si Mungu wa machafuko (1Kor 14:33).
Kwa wanandoa, peaneni mabusu mkiwa nyumbani au kwenye gari na sio ibadani.
Nakutakia ibada njema.
Ubarikiwe.
🤣🤣🤣🤣sio muwafukuze wakavae vizuri ndio warudi na kuwapa maonyo?Kanisani kwangu huwa tunawapa vitenge wajisitiri hadi mwisho wa ibada, ni utaratibu wetu huo.
Acha kusinzia ibada ikiwa inaendelea.Zima simu katika Ibada
Unaruhusiwa kushare mpendwa.Bonge la meseji, naomba niikopi na ku-share kwenye social groups tafadhali
Kwa bahati mbaya wanawahi viti vya mbele ili wakae karibu na mchungaji/muinjilistiWadada wasikie haswa mavazi yao
🤣🤣🤣🤣sio muwafukuze wakavae vizuri ndio warudi na kuwapa maonyo?
Na iwe hivyoBarikiwa
Mpango wa shetani huomada ilikuwa ni kutumia biblia ya kwenye simu je ni sahihi au siyo??? Maana waumini wengi ndo tunafanya ivo siku hizi.
😱Mpango wa shetani huo
Yethuu na Marie!Kwa bahati mbaya wanawahi viti vya mbele ili wakae karibu na mchungaji/muinjilisti