Zijue tofauti za kihuduma na Maslahi kati ya Zanzibar na Tanganyika

Nilienda fungua biashara bush huko Sumbawanga, ajabu Bwana Afya pale alikuja Mpemba, "ushanifahamu, ushanifahamu" "nakufahamisha" " nakusomesheni".
Dah nikasema kimoyo moyo hivi unawezq kweli kwenda kuwa Bwana Afya Zanzibari? 😁
Tuache utani Nyerere alitupiga na kitu kizito sana. 😁
 
RELAX .yote niliyoongea ni FACT . Lengo kuu ni kuboresha maana wote sisi ni Tanzania.
Nimerelax. si kweli kwamba lengo ni kuboresha. Unachotaka ni kujenga chuki kwa kuchanganya uongo na ukweli ili kufikia lengo lako.
Mzenji akitoa vitu Dar kule Zanzibar hachajiwi ila mm
Nikitoa mzigo Zenji nachajiwa Zanzibar nq
Dar ; huo ni nini ? And still tunasema ni nchi moja
Hapa unaendeleza uongo ama kwa makusudi au kwa kutojua unayoyasema. Ukitoa mzigo Dar kwenda Zanzibar, wewe uwe ni mkaazi wa Zanzibar - hakuna uraia wa Zanzibar kama munavyopakazia humuJF - au unatoka Bara, utatozwa ushuru kwa mujibu wa sheria na sio kwasababu ni Mzanzibari au ni Mbara.
Hatutaki kuvunja muumgano. Tunatakq Tqngqnyikq nayo iwe na serikali yake kama Zanzibar then tukutane kwenye muungano as independent countries
Hili ndo tunalolipigania kila siku.Mifano ya OMO kwenye bunge la katiba pamoja na wale mashekhe mulowaweka ndani ni mifano tosha ya yale tunsyoyapigania.

Hili la kukutana kwenye muungano as independent countries ndo tunalolipigania. Angalia sera za ACT Wazalendo na CUF na kauli mbiu yao ya 'Zanzibar yenye mamlaka kamili'. Hili hamulitaki kwani bado muna mawazo ya kikoloni.
Zanzihar yenyewe pia inamatabaka. Kuna muunguja na mpemba.
Kuhusu hili naona umejisahau. Nimekumbuka ule usema wa Kiswahili usemao"nyani haoni ku..ule". Mkuu nakumbusha tu kwamba huko kuna Usukuma, Uhaya, ....... Usijisahau. Ukimuoneshea kidole kimoja, vinne vinaelekea kwako. Huenda huwa unaandika ukiwa na mihemko. Tulizana, fikiria, halafu ndo andika, vingine utakwaa visiki.
Natambua pia ubaguzi mkubwa unatoka kwa mmpemba na sio muunguja.
Ramli. Mkuu hujui unachozungumzia. Fanya utafiti kwanza kabla hujaandika. Unaonesha ujinga (ignorance) wa unayoyaandika. Nachelea hatimae watu watakudharau nawe umesema ni mhadhiri unafundisha Wazanzibari pale ovean road. Au unatudanganya?
Waunguja wengi wanaelimu na ndio hao wamejaa kwenye serikali
Hujafanya utafiti. Ni kweli Waunguja wamejaa kwenye lakini unajua ni kwanini?
Narelax mkuu kwani sasa nimeelewa wewe ni nani. Sasa umeshakuwa Canada. Ili useme uongo unshitaji kuwa na akili nyingi, nawe huna kwa hivyo usiseme uongo. Nakukumbusha awali ulisema unafundisha Wazanzibari pale ocean road. Sasa asubuhi hii ukeshakuwa Canada unatuma pesa kwa mama yao?!!

Mkuu hapa unazunhumza na mtu mzima. Karibu kwa mazungumzo.
 
Aliyemuelewa huyu dada naomba anieleweshe kwa kiingereza..
 
Huu ni muungano wenye manufaa kwa viongozi sio watu wa tanganyika sisi km shamba la wazanzibari
 
Nadhani unashida ya uelewa wa post na mleta post. Soma taratibu kuanzia mwanzo wa mada. Elewa vyema then jibu!!
 
Nadhani unashida ya uelewa wa post na mleta post. Soma taratibu kuanzia mwanzo wa mada. Elewa vyema then jibu!!
Shida ni wewe kueleza mambo usiyoyajua, ama kwa bahati mbaya au kwa kudhani unajua na kumbe hujui. Hili ni tatazo. Siku zote jifunze:
1. Kuwa mkweli na kuandika ukweli,
2. Kufanya utafiti au kufanya rejea kabla kuandika,
3. Kukubali kwamba kuna mambo huyajui na kuna wanaoyajua,
4. Kukubali kukosolewa kwa uliyoandika.

Karibu kwa mazungumzo.
 
Ni kweli, hadi uwaone watu wa social, mara sijui upunguziwe ulipe nusu n.k

Kumbe muungano ndo umeoza hivi? Hatari sana.
 
We mmakunduchi hamna unachojua, trust me na unajichanganya sana . Pia hausomi kwa ufahamu. Unasomq kujiandaa kujibu na sio kuelewa
 
Watakumwagia hata TINDIKALI. Tena ukiwa unaitwa John ndio kabisa. Jamaa wana attitude za ajabu sana
 
Kama kigamboni wamiliki wengi WA Maeneo ni wazanzibar, mpaka hii nchi ijitambue inahitaj Miaka mingine 100
 
Dawa ni kwenda kuoa wanawake wote zanzibar ili nao waje waoe huku tuwe wakwe na makayemba
 
KATIBA YA WARIOBA ILITAKA SERIKALI TATU.
TANGANYIKA
ZANZIBAR
TANZANIA
LAKINI IKAONEKANA HATA HIYO SERIKALI YA TANZANIA GHARAMA ZITABEBWA NA TANGANYIKA KWASABABU HATA HII ILIYOKUWEPO YA JAMHURU YA MUUNGANO HAKUNA KITU WANACHOCHANGIA
 
Bahati mbaya MTanganyika wa kutupigania yupo deathrow.
 
Wapo watanganyika hadi kwenye usheha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…