Zikipita siku 3 tu sijamgusa Kiburi, Hasira na mizozo inaanzaa!

Technophilic Pool

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2024
Posts
2,597
Reaction score
3,965
Wakuu,

Kaka enu nimeoa na ndoa ni changa tu sasa kuna katabia nimekaona kwa mke wangu.

Yaan ikipita sikutatu huyu wifi yenu sijampa LOLO aisee naona nyumba chungu. Kiburi,majibu ya ovyo, kukasirika na mizozo yaan kifupi hapakaliki. Ila ukipiga show tu aisee hata kama ananidai anasahau!! furaha na heshima inakua peak.

Changamoto wifi yenu anapenda unyumba sana.Kila muda mikono mwilini. Kama mjuavyo ma baharia nyama ya kujilia muda wote hamu inaisha.So nilijiwekea ka utaratibu kupitisha siku tatu tatu hivi.

Najutaaa
 
Yaan ikipita sikutatu huyu wifi yenu sijampa LOLO aisee naona nyumba chungu. Kiburi,majibu ya ovyo, kukasirika na mizozo yaan kifupi hapakaliki.

Ila ukipiga show tu aisee hata kama ananidai anasahau!! furaha na heshima inakua peak.

Changamoto wifi yenu anapenda unyumba sana.Kila muda mikono mwilini.
Kama mjuavyo ma baharia nyama ya kujilia muda wote hamu inaisha.So nilijiwekea ka utaratibu kupitisha siku tatu tatu hivi.
Najutaaa
😆😆😆😆 ww siku piga show mpaka ashindwe kutembea na nyege zake ziishe kabisaaa kwa muda huo wa siku 3
 
Leta
Wakuu,

Kaka enu nimeoa na ndoa ni changa tu sasa kuna katabia nimekaona kwa mke wangu.

Yaan ikipita sikutatu huyu wifi yenu sijampa LOLO aisee naona nyumba chungu. Kiburi,majibu ya ovyo, kukasirika na mizozo yaan kifupi hapakaliki. Ila ukipiga show tu aisee hata kama ananidai anasahau!! furaha na heshima inakua peak.

Changamoto wifi yenu anapenda unyumba sana.Kila muda mikono mwilini. Kama mjuavyo ma baharia nyama ya kujilia muda wote hamu inaisha.So nilijiwekea ka utaratibu kupitisha siku tatu tatu hivi.

Najutaaa
Nipe namba zake nikusaidie
 
Dogo kwanza huna adabu yani unasema wifi yetu si matusi haya kwa kaka zako humu?? Stupid
 
Kaka ndoa ni ngumu wenzako tukiwa ndani tunashinda uchi na kulala uchi, Kwani hukumbiwa?

Sasa nguo ya nini na wakati tunatumika kila saa? Mwanamke anaosha vyombo akigeuka akiona six packs walete, akienda kwa mangi akirudi akiona paja lilikomaa walete yaani ni walete tuu kama leo jumapili ilikuwa busy day sana ndo usiku huu nasubiri last round, Tunachoka na vaa vua tunasusa mwili utumike kulinda heshima
 
Wakuu,

Kaka enu nimeoa na ndoa ni changa tu sasa kuna katabia nimekaona kwa mke wangu.

Yaan ikipita sikutatu huyu wifi yenu sijampa LOLO aisee naona nyumba chungu. Kiburi,majibu ya ovyo, kukasirika na mizozo yaan kifupi hapakaliki. Ila ukipiga show tu aisee hata kama ananidai anasahau!! furaha na heshima inakua peak.

Changamoto wifi yenu anapenda unyumba sana.Kila muda mikono mwilini. Kama mjuavyo ma baharia nyama ya kujilia muda wote hamu inaisha.So nilijiwekea ka utaratibu kupitisha siku tatu tatu hivi.

Najutaaa
unapitishaje siku tatu zote hizo? yaani ule mara mbili kwa wiki?
 
Back
Top Bottom