ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Best comment. HongeraHakuna excuse ya mwanamke kutoa kauli mbovu na kuleta dharau kwa mme wake.
Huyo anakudharau,usitumie nyege zake kama kisingizio.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Best comment. HongeraHakuna excuse ya mwanamke kutoa kauli mbovu na kuleta dharau kwa mme wake.
Huyo anakudharau,usitumie nyege zake kama kisingizio.
Shemeji ukiwa ndani ya ndoa hamu inaisha kila siku labda kama hamlali wote au n mm tu shemejiHuyo ndio mzuri yani ukirudi tu nyumbani unamvuta chumbani unamnyooshaa na usiku unampa show ya maana bila kusahau kumpiga cha asubuhi huyo atakuheshim sana.
Ahahahhaha mkuu umeona mambo yasiwe mengi sioOi, utajua mwenyewe mzee
Huyo ndiye Wifi wa mkeo mkuu.huyu ndo nguli?
shemeji ukute mkeo mwenyewe anapigwa na boda afu unataka uoneshe ufundi kwa wake za wenzioWeka namba km una jeuri kweli
Haya ntawaachia ngoja nimfuje kwanzaKabisa naunga mkono hoja😁
huyo mwanamke hakupendi mwenetu na ana dharau pia.ko ili akuheshimu ni umtie tu muda wote..Wakuu,
Kaka enu nimeoa na ndoa ni changa tu sasa kuna katabia nimekaona kwa mke wangu.
Yaan ikipita sikutatu huyu wifi yenu sijampa LOLO aisee naona nyumba chungu. Kiburi,majibu ya ovyo, kukasirika na mizozo yaan kifupi hapakaliki. Ila ukipiga show tu aisee hata kama ananidai anasahau!! furaha na heshima inakua peak.
Changamoto wifi yenu anapenda unyumba sana.Kila muda mikono mwilini. Kama mjuavyo ma baharia nyama ya kujilia muda wote hamu inaisha.So nilijiwekea ka utaratibu kupitisha siku tatu tatu hivi.
Najutaaa
Wangu hanitoshi ndo maana namtaka ŵako na wewe mwenyeweshemeji ukute mkeo mwenyewe anapigwa na boda afu unataka uoneshe ufundi kwa wake za wenzio
Vita umeimaliza;Wakuu,
Kaka enu nimeoa na ndoa ni changa tu sasa kuna katabia nimekaona kwa mke wangu.
Yaan ikipita sikutatu huyu wifi yenu sijampa LOLO aisee naona nyumba chungu. Kiburi,majibu ya ovyo, kukasirika na mizozo yaan kifupi hapakaliki. Ila ukipiga show tu aisee hata kama ananidai anasahau!! furaha na heshima inakua peak.
Changamoto wifi yenu anapenda unyumba sana.Kila muda mikono mwilini. Kama mjuavyo ma baharia nyama ya kujilia muda wote hamu inaisha.So nilijiwekea ka utaratibu kupitisha siku tatu tatu hivi.
Najutaaa
ha ha haNdoa bado changa halafu unatembeza rungu kwa ratiba,Bro unafeli big time.
kumbe ni mchumba ww😂😂aya majina yenu ya kiume yanatuchanganyaWangu hanitoshi ndo maana namtaka ŵako na wewe mwenyewe
Kwaiyo dr unashaur tuwe tunachakata baada ya muda ganToo much of anything is harmful
Kila kitu kuwa na kiasi
he he he yaan napga kama nauaVita umeimaliza;
umejua tatizo, peleka mioto mfululizo au piga shoo kubwa yaani akikutazama baada ya shoo awe anatamani kuhama nyumba otherwise ataendelea kuleta dharau ivo ivo!
Kwaiyo dr unashaur tuwe tunachakata baada ya muda gan