Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Haya mambo hayana ratiba kabisa,,huwa inatokea tu mnaamua kupiga show
Lakini walau kwa wiki mara nne,,yaan mnacha tatu
Na kubwa zaidi wanandoa si lazima muende raundi nyingi,hata moja ya maana inatosha,asubuhi unaamka nayo
Nakumbuka siku moja nishavaa nimepiga unyunyu, ile nataka kuondoka niende katika mishe mishe, nikatakiwa nipige show,basi ikabidi nipige na kuoga tena na kwenda ktk mishe,,,umeona hakuna formular maalumu