Zikipita siku 3 tu sijamgusa Kiburi, Hasira na mizozo inaanzaa!

Zikipita siku 3 tu sijamgusa Kiburi, Hasira na mizozo inaanzaa!

Wakuu,

Kaka enu nimeoa na ndoa ni changa tu sasa kuna katabia nimekaona kwa mke wangu.

Yaan ikipita sikutatu huyu wifi yenu sijampa LOLO aisee naona nyumba chungu. Kiburi,majibu ya ovyo, kukasirika na mizozo yaan kifupi hapakaliki. Ila ukipiga show tu aisee hata kama ananidai anasahau!! furaha na heshima inakua peak.

Changamoto wifi yenu anapenda unyumba sana.Kila muda mikono mwilini. Kama mjuavyo ma baharia nyama ya kujilia muda wote hamu inaisha.So nilijiwekea ka utaratibu kupitisha siku tatu tatu hivi.

Najutaaa
Mkuu ukifika miaka 40 utajua makosa yako ni Yepi Ila kwasasa endeleza entertain
 
Back
Top Bottom