Uchaguzi 2020 Zikiwa zimebaki siku 20, wapinzani wanashindana huku akili na mioyo yao ikiamini mshindi ni Magufuli



Ni lazima iwe hivyo kwa sababu Wajanja wachache wanawatumia wajinga wengi kama Ngazi. Tanga watu hawachagui wawakilishi bali wanachagua wafadhili. Hilo ni jambo linalowasumbua sana.

Tanga imezungukwa na mito na maji mengi lakini kuna maeneo watu wanakunywa maji machafu tena ya bomba na wanalipa bili. Ukiangalia kuanzaia Mwenyekiti wa serikali za mitaa , Diwani ,Afsa mtendaji ,Mbunge na kila mtu kwenye idara ni kada wa Kupeleka majungu CCM matokeo yake hata akija kiongozi watu hawaulizi kuhusu mambo ya msingi kama maji ,barabara za vijinini n.k wanabaki kuchongeana kwa majungu na kutishiana uchawi. Eti ni nchi inayotegemea kupata maendeleo iwe dona kantri labda Sembe kantri.

Dunia ya leo Utajiri ni kuwekeza kwenye teknolojia sio vinginevyo sasa Tanga CCM imewekeza kwenye Kugawa kanga wakati wa uchaguzi badala ya Kuwatoa watu kwenye akili za kuwategemea Watawala watoe pesa wakati wa uchaguzi kununua kura wapite kirahisi au bila kupingwa . Lushoto Kuna mgombea mmoja wa CCM aliwapa tu wajumbe pesa ili apite kirahisi mana hana mida wa kampeni. Wale wasiopenda dhulma wakajikuta hawana mtu wa kumpigia kura jambo ambalo limewakera sana .
Facebook pekee inaingiza mabilioni ya Pesa kuliko migodi yote ya madini tumayojivunia. Facebook haiharibu mazingira wala nini lakini inakusanya pesa dunia nzima. Teknolojia tu.
 
Sijui kama umesoma hayo mabandiko rejea niyoyatuma
 
Nshomile hata kwenu huwa hamrudi mmejazana Dar
Umehama mada baada ya kugundua ninapoelekea. JPM atakukatili mpaka mwisho hautopata hiyo haki ya kishetani labda uhamie Ubeligiji.
 
Mpaka sasa hakuna wa kumshinda JPM. Kama CDM watajitahidi sana, wanaweza kupata si zaidi ya 12% ya kura.
 
Sasa uonevu wote huo dhidi ya ambao mmeona mmewashinda wa nini?
Acheni hizo mambo.
 
CCM kwa mara nyingine inashinda uchaguzi huu kwa ngazi zote Urais, Ubunge na Udiwani. Vyama vya upinzani vijipange upya kwa ajili ya uchaguzi wa 2025.
Lakini tayari uharamu umeingia kwani uvunjifu wa sheria uliolalamikiwa nanwenzenu umefumbiwa macho na tume na hivyo kuharamisha ushindi wenu.
 
Mwenyezi Mungu Atupe Pumzi tushuhudie fainali hii ya mwaka 2020
 
Hii imenikumbusha Ile kauli mbiu ya mzee wa upako "WATASHINDANA LAKINI TUTASHINDA"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…