Zikiwa zimebaki siku 3/4 KUELEKEA send-off na wedding ceremony, Nitakuwa offline muda wowote kuanzia Sasa

Siri ni moja tu, ukawe nyenyekevu na mtiifu, umemaliza.
Achana na yule kijana uliemfia, siku ukichepuka kumbuka ndoa ndo kwishney, yanabaki mahusiano kama boy na girl friend. Halafu yajayo yanahuzunisha
 
We kiboko
 
Dah!Umeniliza🥺
Asant kwa ushauri mzuri mkuu🤝
 
Sa itakuwaje na wewe unatuacha km da mau 😹😹😹
Da mau fanya urudi aliyekuwa anaziba nafasi yako anatuacha tutapoa huku.
 
Asante mdogo wangu!
Siku zimeyoyoma voo
Naona unafurahia sana kufungua ukurasa mpya katika maisha. Hongera..!

Jambo la muhimu la kuweka akilini ni kwamba...Uimara, furaha, upendo wa ndoa yako unakutegemea wewe(ke)
Huo ni ukweli mchungu.

"Mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe".....Na kinyume chake.

Kila la kheri binti yangu!
 
Mbona hujamkumbusha kuna muda hata akae kichele mjurusi hausimami avumilie 😹😹😹
 
Tunza mumeo,kwa kiafrika penda ndugu wa mume pia,kila la kheri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…