Zikiwa zimebaki siku 3/4 KUELEKEA send-off na wedding ceremony, Nitakuwa offline muda wowote kuanzia Sasa

Nina mashaka sana na wanawake kama wewe mnaoexpose ndoa mitandaoni. Naamini hapo unachowaza zaidi ni sherehe itakavyokuwa kubwa, jinsi utakavyopendeza, na mabo mengine madogo madogo kama hayo. Hofu yangu ni kuwa utakuwa haujajiandaa kikamilifu kuwa mke. Isijekuwa miezi michache ijayo uanze kuomba ushauri humu jinsi ndoa yako imekuwa ngumu. Ndoa ni zaidi ya comment za mitandaoni.
 
Si comment chochote 🙃
Maisha mema .Ubacherol huku unaendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…