Pre GE2025 Zikiwa zimesalia siku chache, Wadau wazidi kuunga Mkono Maandamano ya Amani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ukitaka kujua mtu yuko desperate anapodai kaungwa mkono na Oscar Oscar!
 
People with low self esteem critizise others to make themselves feel better.It is a psychology fact.
 
Sasa viongozi wenu wa chadema wasipoandamana itakuwa na maana gani.?
Historia inaonyesha kuwa Viongozi wetu wa CHADEMA huwa wakiahidi kuandamana huwa hawarudi nyuma.

Kwa hiyo tunaimani kubwa kuwa Viongozi wetu wataandama nasisi kwa pamoja.
 
Hiki ni kiwango kidogo sana cha uelewa wa mambo!! We endelea na maisha yako.
 
Mimi nitakuwa mbele kabisa karibu na mwamba wa Tarime Heche, Hapa ndo pakuionyesha dunia kwamba siasa za kinafiki zilishapitwa na wakati
 
Tanzania yote inajua kuwa panyaroad ni uvccm,wamehusika katika matukio mengi ya kihalifu kama vile uchomaji wa masoko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…