Tatizo la Lissu hawezagi kuchuja mambo Ayo ndo mapungufu yake yeye waliaminisha Magufuli alikua mbaya wake wanamtandao ni watu hatari walimtumia mpaka Lissu na iko siku wanamtandao watawagombanisha Lissu na Polepole niko hapaAliyesema hivyo ni Tundu Lissu. Naye huwa anasema aliambiwa na mtu.
Siku wakija kuwa wazee sijui watawaambia nini wajuku wao kipindi icho.Tupate burdan sasa 😎
View attachment 3475311
Hiyo claim ilikuwa completely nonsensical. Kama kifo chake kingetokana na military coup d'état angalau kungekuwa na sababu ya kuamini kwamba nyumba yake ilikuwa searched baada ya kifo chake!Katika zama hizi za mitandao ya kijamii, simu za viganjani zenye kila aina ya uwezo, zenye kuweza kupiga picha, kurekodi video, na kadhalika, ni vigumu sana kwa baadhi ya mambo kuendelea kuwa siri.
Tuliambiwa kwamba, baada ya Rais Magufuli kufariki, kwamba nyumbani kwake zilikutwa dola za Kimarekani milioni 30.
Sipati picha dola za Marekani milioni 30, zilizo taslimu, zinaweza kujaza magunia mangapi au masanduku mangapi au maboksi mangapi!
Hii ilikuwa ni miaka michache tu iliyopita. Ilikuwa ni 2021!
Mpaka leo hii sijawahi kuona ushahidi wowote ule ulio wa moja kwa moja au wa kimazingira.
Kwamba yakutwe mahela yote hayo nyumbani kwa Magufuli halafu asiwepo hata mtu mmoja mwenye simu janja kuweza kupiga picha au kurekodi video ya hayo mahela?
Haya, tusogeze muda mbele mpaka leo.
Watu ambayo miaka minne iliyopita tulikuwa hata hatuwajui, ila leo hii wamepata madaraka huko serikalini na tumeishia kuwajua kupitia mitandao ya kijamii kutokana na matendo yao ya kuonyesha utajiri wao!
Sikumbuki enzi za Magufuli kumuona mtu yeyote yule aliyekuwepo serikalini au kuwaona watoto wake, wakionyesha mabulungutu ya mahela waliyonayo.
Nakumbuka kipindi cha Magufuli, kuna mke wa waziri mmoja mwandamizi alimletea ukorofi askari mmoja wa barabarani.
Taarifa zilipomfikia Magufuli, kuna siku moja akalizungumzia hadharani hilo suala na akalikemea.
Leo hii huyu Rais tuliyenaye anaweza akamkemea nani kuhusu ufisadi, muonekano wa ufisadi, matumizi mabaya ya madaraka, n.k.?
Mtu kama huyu hapa kwenye picha, anaonekana ni mtoto wake 2006 au 07, anatoa wapi jeuri ya kuonyesha mahela aliyonayo?
Pamoja na mapungufu yake yote, enzi za Magufuli hatukuona upumbavu na dharau kama hizi.
Jesca na yule kaka yake sidhani kama wamewahi kushika hata kibulungutu cha dola 10,000 tu.
Mke wa Magufuli sidhani hata kama anajua dola ni kitu gani…..
Yani mtu mropokaji naye unampa benefit of a doubt na kumwamini?Aliyesema hivyo ni Tundu Lissu. Naye huwa anasema aliambiwa na mtu.
Ni kweli alikuwa mbaya kweli kwake.Tatizo la Lissu hawezagi kuchuja mambo Ayo ndo mapungufu yake yeye waliaminisha Magufuli alikua mbaya wake wanamtandao ni watu hatari walimtumia mpaka Lissu na iko siku wanamtandao watawagombanisha Lissu na Polepole niko hapa
Ww ulikuwepo!? Et risasi 46, watanzania majinga sana, Yani nyie ukombozi mtausikia kwa nchi nyingine Yani upo brainwashed mnaishi kwa nadharia ambazo hazipo (propaganda at its best).Ni kweli alikuwa mbaya kweli kwake.
Risasi 46 kama anaua chatu, Magu alikuwa Joka shetani.
Postive side ya Magufuli ilikuwa kwenye miundombinu tu.
Nilitaka nikupe mimba nimengaili sometimes una akiliUkitaka kumuua mbwa mpe jina baya ila wanamtandao walimuua kwanza alafu ndo wakampa jina baya ili watu wasiulize
Unamaanisha mimba umepewa na mwanaume mwingine ukataka kunisingizia nimekupa mimi?Nilitaka nikupe mimba nimengaili sometimes una akili
Ni kweli alikuwa mbaya kweli kwake.
Risasi 46 kama anaua chatu, Magu alikuwa Joka shetani.
Postive side ya Magufuli ilikuwa kwenye miundombinu tu. MIMI pia nilimpigia sana spana Magufuli but nilikuja kugundua na mimi nilitumiwa na wanamtandao bila kujua naomba nisamehewe but Magufuli hakua mbaya
Amejifunza kwa njia ngumu. Very sad siasa zetu zimevurugwa beyond repairAliyesema hivyo ni Tundu Lissu. Naye huwa anasema aliambiwa na mtu.
Umejuaje kama Magu ndiye aliyetoa amri?Ni kweli alikuwa mbaya kweli kwake.
Risasi 46 kama anaua chatu, Magu alikuwa Joka shetani.
Postive side ya Magufuli ilikuwa kwenye miundombinu tu.
Actually alisema ni milioni 42.Amejifunza kwa njia ngumu. Very sad siasa zetu zimevurugwa beyond repair
Kwasababu hakujishughulisha kutafuta waliofanya unyama, alimtumia Ndugai kuzima kamati ya bunge ya uchunguzi na alimnyima haki zake kama Mbunge.Umejuaje kama Magu ndiye aliyetoa amri?
Mkapa, kijazi, Mbuge, Mfugale kufa; nayo ilikuwa amri ya Magu? Unakumbuka hawa wote walikuwa na uhusiano gani?
Unafahamu kundi gani bado wapo hai, kasoro wawili?
Inawezekana ilikuwa ni maamuzi za Ndugai tuu.Kwasababu hakujishughulisha kutafuta waliofanya unyama, alimtumia Ndugai kuzima kamati ya bunge ya uchunguzi na alimnyima haki zake kama Mbunge
Mungu atupe uhai tuu, haya yote yatajidhihirisha.Hii ni logic tu wala huhitaji kuwa ndugu wa Lissu kujua Magu ndio alitaka kumuua Lissu.
Na Lissu ana Mungu sana, wanakufa vibaya sanaaaa, wanamuacha